KKKT Sinza wachukua tahadhari ya Corona waanza na maji tiririka na social distancing ibadani!

Ni jambo jema.

Kinga ni bora kuliko tiba.

Niwapongeze sana Kanisa la KKKT Sinza kwa umakini wenu katika kukabiliana na wimbi jipya la Corona.

Nawatakia Dominica yenye baraka.
Ndege ya Rais haiwezi kwenda kubeba dawa Madagascar ili mnywe nyie!
 
Ni jambo jema.

Kinga ni bora kuliko tiba.

Niwapongeze sana Kanisa la KKKT Sinza kwa umakini wenu katika kukabiliana na wimbi jipya la Corona.

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Wamefuata wito wa Mkuu wa Kanisa KKKT Dr Shoo,wamepuuza matamko ya kisiasa kama ya Meya wa Mji wa Moshi na wengineo wengi wa aina hiyo.
 
Hakuna mwanasiasa aliyemkataza mwananchi kuchukua tahadhari!
 
Kanisani kwetu Napo hivyo hivyo..naingia getini nakutana na maji tiriri.. naingia kanisani naona distance.. Corona imepamba Moto..nahisi week ijayo tutakuwa na barakoa.
 
Ni jambo jema.

Kinga ni bora kuliko tiba.

Niwapongeze sana Kanisa la KKKT Sinza kwa umakini wenu katika kukabiliana na wimbi jipya la Corona.

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Habari biila picha huwa kama kula pipi kwenye ganda
 
Back
Top Bottom