johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndege ya Rais haiwezi kwenda kubeba dawa Madagascar ili mnywe nyie!Ni jambo jema.
Kinga ni bora kuliko tiba.
Niwapongeze sana Kanisa la KKKT Sinza kwa umakini wenu katika kukabiliana na wimbi jipya la Corona.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Ni jambo jema.
Kinga ni bora kuliko tiba.
Niwapongeze sana Kanisa la KKKT Sinza kwa umakini wenu katika kukabiliana na wimbi jipya la Corona.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Hakuna mwanasiasa aliyemkataza mwananchi kuchukua tahadhari!Wamefuata wito wa Mkuu wa Kanisa KKKT Dr Shoo,wamepuuza matamko ya kisiasa kama ya Meya wa Mji wa Moshi na wengineo wengi wa aina hiyo.
Meya wa manispaa Moshi amewakataza wananchi kuvaa barakoa!!!Hakuna mwanasiasa aliyemkataza mwananchi kuchukua tahadhari!
Wananchi wenyewe ndio hawa hawa akina Lucy Owenya?!Meya wa manispaa Moshi amewakataza wananchi kuvaa barakoa!!!
Kwa hiyo moshi anaishi lucy owenya na ukoo wake peke yake?Wananchi wenyewe ndio hawa hawa akina Lucy Owenya?!
Mnaishi wote!Kwa hiyo moshi anaishi lucy owenya na ukoo wake peke yake?
Ni jambo jema.
Kinga ni bora kuliko tiba.
Niwapongeze sana Kanisa la KKKT Sinza kwa umakini wenu katika kukabiliana na wimbi jipya la Corona.
Nawatakia Dominica yenye baraka.