A
Nyingi tu mkuu. Ukiwasha data tu zinajipitisha Kwa matangazo mazuuri ya kuwakaribisha wateja. Jiunge sasa na kuchukua mkopo ndiyo utajuta kuzifahamu.Bado zipo?
Hio mikwara ukiwa na roho nyepesi unaweza kwenda kukopa ulipe mkopo!
Riba zao zipojeMkuu pole sana. Hii app ya mikopo haipo peke yake. Zipo nyingi sana na inavyoonekana nyingi hazijasajiliwa na BOT lakini Zina Fanya kazi kama Kawa. Mpaka mtu unajiuliza hii Benki kuu ya Tanzania (BOT) inafanyaje kazi zake?
Mwaka Jana au juzi hili Swala lilifika Hadi Bungeni ndiyo BOT angalau wakachukua hatua kuzifungia App zote za mikopo ya kitapeli. Lakini sasa zimerudi upyaa huku BOT okiwa imelala. Gavana chukua hatua au wapishe wanaoweza kuchukua hatua.
70% Kwa siku 7.Riba zao zipoje
Na pia watampiga na kitu kizito... Kosa lingine la Jinai...Mambo za kushtuana ubongo tena doh!!
Huko hapafai kabisa love.Na pia watampiga na kitu kizito... Kosa lingine la Jinai...
Wewe na mumeo sio wakopaji?Huko hapafai kabisa love.
Hao unaitaka wachukue hatua ndio wanaomiliki, punguza njaa sio lazima kukopa kopaKuna application hii ya kutoa mikopo mitandaoni inaitwa KKPESA naombeni muifuatilie kwa ukaribu sana.
1. Riba zao ni kubwa na inatakiwa mkopo ulipwe kwa muda mfupi sana siku 7.
2. Siku ya 6 kabla ya kufika siku ya rejesho wanakushurutisha ulipe deni kwa nguvu kwa kutoa maneno ya kejeli na sms za vitisho.
3. Wanatafuta watu/contact list yako bila ridhaa yako na siku ambayo hujapitisha rejesho. Naombeni mtusaidie ni scam application inatunyonya Watanzania na kutokana na ugumu wa maisha unajikuta umeingia kwenye mfumo wa kuchukua fedha katika application hiyo.
Kwa elimu yangu ndogo najua haifuati sheria za mikopo katika ukubwa wa riba. Watu wanateketea na kutapeliwa hela zao kutokana na hii application.
Naomba kuwasilisha🙏🏿🙏🏿
View attachment 3593022View attachment 3593023View attachment 3593024View attachment 3593025
Nyie ndio mnakatwa Vichwa harafu mnasingizia serikaliKuna application hii ya kutoa mikopo mitandaoni inaitwa KKPESA naombeni muifuatilie kwa ukaribu sana.