Nataka nijaribu kuomba dakika ni ya ngapi jamani.50/50 japo yanga ameruhusu sasa kushambuliwa
84Nataka nijaribu kuomba dakika ni ya ngapi jamani.
Asante kwa updates mkuu.
Hahaha dah 😂😂😂 ila hongereni aseeKwan Rambo ulizichoma zote kaka?
Dakika za lawama kuna dua naiomba hapa!!Dk 87..bado magoli ni 0-1
Ayseee watani Mungu awasaidieMsisahau Metacha ameokoa penalti maombi yenu yaendeleee[emoji120][emoji120][emoji120]
Kwani nyuso zenu zinahamishika.[emoji16][emoji16][emoji16]Yanga mkishinda tutaweka wapi nyuso zetu!!!
Kila laheri Yanga!Tunajivuta hivyohivyo kigumu.Dua na maombi yako yanatakiwa ili na ninyi tuwaombee kwenu kesho mwapige wasumbiji
Leo kauli zimebadilikaJamaa waoga kama wanaoga nje. Mpaka wafunge ndio wanatokea