Klabu bingwa Africa: Yanga yaichapa Township Rollers 1 - 0 na kufanikiwa kuingia raundi ya pili

Klabu bingwa Africa: Yanga yaichapa Township Rollers 1 - 0 na kufanikiwa kuingia raundi ya pili

DUH UMEKUWA EXCITED HADI UMEVUJISHA SIRI YA WHO YOU ARE? ANGALIA HIYO SCREEN SHOT YAKO USHAJULIKANA WEWE NI NANI,KUW AMAKINI TU USIJE UKAANZA KUITUMIA HIYO ID YAKO KUWANANGA KINA BASHITE
Ko vipi nibadili id hapa JF au?
 
Ulinzi wa Mungu unanitosha japo naogopa.Mungu mwema wakati mwingine ntatumia another way
DUH UMEKUWA EXCITED HADI UMEVUJISHA SIRI YA WHO YOU ARE? ANGALIA HIYO SCREEN SHOT YAKO USHAJULIKANA WEWE NI NANI,KUW AMAKINI TU USIJE UKAANZA KUITUMIA HIYO ID YAKO KUWANANGA KINA BASHITE
 
Hongereni Azam na Yanga kwa kuvuka na hivyo kwenda hatua inayofuata kwa ushindi mnono wa nyumbani na ugenini! Ngoja tuwaone na hawa mbumbumbu fc kesho watafanyaje.

Nao nawatakia ushindi ingawa baadhi ya mashabiki wake, kwa sababu tu ya umbumbumbu wao, wamekuwa wakituombea Yanga njaa bila mafanikio.
 
Hongereni, najua ushindi wenu hamjaufaidi ipasavyo mpaka pale mtakapoona simba imefungwa japo ni ndoto

Endeleeni tu kujipa moyo! Unadhani hata wale ndugu zenu Township Rollers walijua watafungwa nyumbani kwao! hasa baada ya kudhani walishamaliza mchezo kupitia goli la ugenini? Kesho mkazane mpite kama wenzenu walivyofanya. Hatutaki uKMC hapa.
 
Back
Top Bottom