Johnson Fundi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 1,386
- 1,207
pole sana kajifiche maliwatoniYanga mkishinda tutaweka wapi nyuso zetu!!!
Hongereni asee.pole sana kajifiche maliwatoni
DUH UMEKUWA EXCITED HADI UMEVUJISHA SIRI YA WHO YOU ARE? ANGALIA HIYO SCREEN SHOT YAKO USHAJULIKANA WEWE NI NANI,KUW AMAKINI TU USIJE UKAANZA KUITUMIA HIYO ID YAKO KUWANANGA KINA BASHITE
Kumbe ndo wewe mwana?nakuonaga tuAhsanteni sana kwa wote.Mungu ibariki Yanga Mungu ibariki AfricaView attachment 1189116
Asanteni sana kwa wote,wote na nani? Na mikia? Usifikiri kweli mikia wamesaidia kukuombea? Mikia walikuwa wanaomba agaisnt kabisa na maombi yakoAhsanteni sana kwa wote.Mungu ibariki Yanga Mungu ibariki AfricaView attachment 1189116
Yanga muke ya simba naanza kupata ngufu!!Inaniheshimisha na kuniketisha mahala pa juu palipo inuka. Young Africans daima mbele nyuma mwiko.
Ila Leo kwa kweli Yanga wamecheza mpira hasa kipindi cha kwanza. Sub ya kumtoa Banka kidogo imcost Mwinyi Zahera.Wananchi wameiwakilisha nchi vizuri
Ila Ramaphosa amezingua pakubwa!!Wananchi wameiwakilisha nchi vizuri
HahaaaaaaLeo umechezwa mpira kesho linapigwa kabumbu,ma men Shiboub ataburudisha eneo la kati
Shadeeya Yawezekana amesafiri na Timu Mkuu wakitoka tu Uwanjani atarudi hapa.
Hongereni, najua ushindi wenu hamjaufaidi ipasavyo mpaka pale mtakapoona simba imefungwa japo ni ndoto