Klabu bingwa Africa: Yanga yaichapa Township Rollers 1 - 0 na kufanikiwa kuingia raundi ya pili

Klabu bingwa Africa: Yanga yaichapa Township Rollers 1 - 0 na kufanikiwa kuingia raundi ya pili

Juzi nilienda kuwashangalia KMC bahati mbaya magoli hayakutosha,jana nikaenda Chamazi mambo yakawa safi leo naenda Taifa kuwashangilia Simba.Na declare interests mm ni mpenzi wa Yanga.Mashindano ya Afrika nafurahi sana timu za Tanzania zinapofanya vzr.Pongezi kwa Malindi pia.
Leo umechezwa mpira kesho linapigwa kabumbu,ma men Shiboub ataburudisha eneo la kati
 
Bado yupo Mkuu, ingawa Zesco ya mwaka huu hapo vizuri sana kama ya mwaka jana. Wameuza wachezaji wazuri kama Kambole aliyekuwa anatakiwa na Simba nadhani pia Winston Kalengo ameuzwa. Kiungo chao yupo former Yanga player Kamusoko. Hivyo Yanga wakitulia watawatoa.
tutawapa knokout hao kenge
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Msiangalie mechi yenu mje kuangalia yetu
😂😂😂 Hivyo hivyo 💃💃💃

Mida hii muko wapoole kama sio nyie. 😀😀😀
 
Back
Top Bottom