bwege nazi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 700
- 904
Kama kawaida yenu mabingwa wa kihistoria naona mmeweka historia nyingine hii haa haa kama nawaona vile wananchiTimu pekee iliyoshinda ugenini first round kwa Tanzania msimu huu was CAF
You too!Sawa mjukuu wa sheikh Yahaya,maana hata Botswana mlisema tunaenda kutalii tu,maninaaa
Kweli niliandika kwenye hekaheka za kushangilia Goli la Yanga sikuhakikiUlichokiandika ni umbumbumbu mtΓΉpu
Niliandika huku nasukumwa na Wanayanga wakati wanaoshangilia Goli, na sikuhakiki. Pole kwa usumbufuUmeandika nini hapa! Viroba vineshapigwa marufuku acha kutumia
Leo umechezwa mpira kesho linapigwa kabumbu,ma men Shiboub ataburudisha eneo la kati
Bado yupo Mkuu, ingawa Zesco ya mwaka huu hapo vizuri sana kama ya mwaka jana. Wameuza wachezaji wazuri kama Kambole aliyekuwa anatakiwa na Simba nadhani pia Winston Kalengo ameuzwa. Kiungo chao yupo former Yanga player Kamusoko. Hivyo Yanga wakitulia watawatoa.kwani zesco bado wapo na lwandamina?
Ooh pole sana,kweli ustaarabu ni vitendo.Niliandika huku nasukumwa na Wanayanga wakati wanaoshangilia Goli, na sikuhakiki. Pole kwa usumbufu
tutawapa knokout hao kengeBado yupo Mkuu, ingawa Zesco ya mwaka huu hapo vizuri sana kama ya mwaka jana. Wameuza wachezaji wazuri kama Kambole aliyekuwa anatakiwa na Simba nadhani pia Winston Kalengo ameuzwa. Kiungo chao yupo former Yanga player Kamusoko. Hivyo Yanga wakitulia watawatoa.
Yanga mkishinda tutaweka wapi nyuso zetu!!!
Hongereni asee kwakubahatisha, na karibuni taifa mushuhudie mpira uchezavyo ππππππ nimeshaamka Mkuu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Msiangalie mechi yenu mje kuangalia yetuHahahaaa!!!! Dada najua hii hongera kwa sababu hamjajua jioni yenu. [emoji3][emoji3][emoji3]
Ahsante Dada lakini hapa najiandaa tu kuwaangalia Du Songo. [emoji12][emoji12][emoji12]
Kubahatisha tena Mkuu. Sema tumejua kutumia nafasi tuliyoipata.Hongereni asee kwakubahatisha, na karibuni taifa mushuhudie mpira uchezavyo πππ
πππ Hivyo hivyo πππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Msiangalie mechi yenu mje kuangalia yetu