Kwahyo wewe haushabikii Simba, ni shoga?
naona mbumbumbu unashangilia dro, haha mbumbumbu ni mbumbumbu tu, mlisema yanga inafungwa sasa hivi mnashangilia droIlo ni antena la startimes likisheki full michele unapoteza muda kumuelimisha
Amepagawa mpaka anatufahamisha tabia yake..[emoji23][emoji23]
Yote yakataka Kamusokooooooo
naona mbumbumbu unashangilia dro, haha mbumbumbu ni mbumbumbu tu, mlisema yanga inafungwa sasa hivi mnashangilia droIlo ni antena la startimes likisheki full michele unapoteza muda kumuelimisha
Kona 6 kwa bila! Hahahaha!
Zesco wamemiliki kila kitu kama walikuwa wanamiliki mke wa mtu vile
yanga ya kimataifa hata ikitolewa na zesco inaenda kombe la shirikisho, wakati huo simba iko ligi ya matopeni inacheza na ndandaAmepagawa mpaka anatufahamisha tabia yake..[emoji23][emoji23]
Yote yakataka Kamusokooooooo
Hivi umeshiriki hiyo michuano ulikuwa bingwa?yanga ya kimataifa hata ikitolewa na zesco inaenda kombe la shirikisho, wakati huo simba iko ligi ya matopeni inacheza na ndanda
Ww ngoja ufungwe Zambia tu umeshindwa kutawala kwako hesabia kipigo heavynaona mbumbumbu unashangilia dro, haha mbumbumbu ni mbumbumbu tu, mlisema yanga inafungwa sasa hivi mnashangilia dro
Ni aibu kubwaKona 6 kwa bila! Hahahaha!
Hawawezi...ni sisi kuongeza umakuni tu
Ha haaaaaa"Nayo mambumbu yakapaza sauti kuu yakistaajabu kushindwa kwa ramli zao"... MO 3:5-9
Sis tunachoshangaa ni hichi kilichotokea baada ya mechi, timu imetoa sare then watu wakalala baada ya mechinakuona mbumbumbu unashabikia droo ya zesco, kweli nimeamini mashabiki ya simba ni mapumbavu
Wewe ndo gaSho mikia FC.Wabana wameachia...Vyura Oyeee[emoji23][emoji23][emoji23]
Aishangazi kuona matokeo haya ikiwa timu yenyewe imeenda kwenye michuano kwa asante ya Simba SC