Klabu Bingwa Afrika: Dar Young African Vs Zesco

Klabu Bingwa Afrika: Dar Young African Vs Zesco

Wameanza kuwa wachache mitaani

Mtapata peinati nyingine huko Zambia, nyie si hamjiwezi bhana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kiukweli yanga hatuna foward jamani kiukweli . Na metacha goal kipa alikua na sababu gani ya kupoteza muda kwa kulala wakati bado dk 1 ya nyongeza akawapa muda zesco wa kujipanga.
 
yanga ya kimataifa hata ikitolewa na zesco inaenda kombe la shirikisho, wakati huo simba iko ligi ya matopeni inacheza na ndanda
Hivi umeshiriki hiyo michuano ulikuwa bingwa?

Kama si Simba SC kukubeba ungekuwa unafuga Vyura hapo dimbwini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Beki za pembeni tatizo kubwa yanga kule kwa Ali mtoni ni uchochoro wa cross. Kiukweli yanga tukitolewa apa na confederation tumtumue huyu mkongo
 
nakuona mbumbumbu unashabikia droo ya zesco, kweli nimeamini mashabiki ya simba ni mapumbavu
Sis tunachoshangaa ni hichi kilichotokea baada ya mechi, timu imetoa sare then watu wakalala baada ya mechi
Screenshot_20190914-190800~2.jpeg
Screenshot_20190914-191128~2.jpeg
 
Akili za Vyura bhana! Kumbe ni haki yao Vyura kugonga Mayai (External Fertilization) badala ya kugonga Papuchi [emoji23] [emoji23][emoji23]

Simba alipotoa draw na UD SONGO wao walishangiria wiki Nzima, Lakini sisi kushangiria Draw yao na ZESCO wanaona ni upumbavu! 😀

Kumbe upumbavu waliuanza wao kuufanya kwa UD SONGO na sisi tunawaiga tu kwa ZESCO
 
Wabana wameachia...Vyura Oyeee[emoji23][emoji23][emoji23]

Aishangazi kuona matokeo haya ikiwa timu yenyewe imeenda kwenye michuano kwa asante ya Simba SC
Wewe ndo gaSho mikia FC.
 
Back
Top Bottom