agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
,wale mashabiki wenzangu wa Zesco tukutane taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasemekana molinga kaanza kutupia...Mkuu kwa forward gani wapate 1?
,wale mashabiki wenzangu wa Zesco tukutane taifa
THIS IS "5 IMBA" [emoji113]GOALS × 3 + 2 = 17 GOALS IN CAF CHAMPIONS LEAGUE [emoji23]
Inasemekana molinga kaanza kutupia...
Wanadai ndio kaanza shughuli..leo akirukaruka watadai hakuna muunganiko bado.Kutupia kwa kina toto africa na pamba?
Alikwambia mechi ya mtoano ina point Nani?¿¿?Kwa morali hii walionayo Zesco nahisi wanajiamini na wanajua wanachokifanya. Nimefurahishwa zaidi na furaha walionayo wachezaji, sidhani kama kuna madeni ya mishahara pale. Ngoja tuone mechi ya leo yanga itavuna point ngapi.
Ngoja tuone itakuwaje.
Wanadai ndio kaanza shughuli..leo akirukaruka watadai hakuna muunganiko bado.
kila la kheri YangaWawakilishi pekeee kutoka tanzania kwenye ligi ya club bingwa africa yangaaa leo watatifuana na timu bora kabisa kutoka zambia zesco..
Karibuni kwa updates za matukio yote taifa
View attachment 1207089
Mikia mnateseka sanaKila la Kheri Zesco piga hao 3-0