paul green
Member
- Jan 16, 2019
- 18
- 17
matokeo ya raundi ya kwanza
simba 3 vs 0 js saoura
al ahly 2 vs 0 as vita club
round ya pili
js saoura 1 vs 1 al ahly
as vita vs simba (saa 1 usiku)
msimamo
1.al ahly mechi 2 point 4
2.simba mechi 1 point 3
3.js saoura mechi 2 point 1
4.as vita mechi 1 point 0
nini maoni yako kuhusu mechi ya simba leo saa 1 usiku dhidi ya as vita club?
kwa mtazamo wako katika kundi hili, je, ni timu gani zitakazo songa mbele katika hatua ya robo final?
nini hatima ya simba katika mashindano haya? atafika wapi? je, ni hapahapa makundi, robo final, nusu final, final, au atarudi na kombe???????