ngogo s ngogo
Senior Member
- Nov 29, 2015
- 134
- 81
Bado mna nafasi JS Soura mmecheza mechi mbili bado mechi 4Mechi ya klabu bingwa Afrika hatua ya makundi GROUP D imemalizika kwa timu hizo kugawana pointi moja moja baada ya kufungana 1 - 1
Refa amelikataa goli safi la JS SAOURA lililofungwa ktk muda wa nyongeza. Ama Kweli ukiwa timu kubwa raha.
Al Ahly ilikuwa wafe hii game. Sio mbaya. BADO TUNA NAFASI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemkomesha mbwiga huyoBado mna nafasi JS Soura mmecheza mechi mbili bado mechi 4
Tunasubiria na nyie refa awabebeMechi ya klabu bingwa Afrika hatua ya makundi GROUP D imemalizika kwa timu hizo kugawana pointi moja moja baada ya kufungana 1 - 1
Refa amelikataa goli safi la JS SAOURA lililofungwa ktk muda wa nyongeza. Ama Kweli ukiwa timu kubwa raha.
Al Ahly ilikuwa wafe hii game. Sio mbaya. BADO TUNA NAFASI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wanatafuta sympathy watakapo kula kichapo wapate la kuongeaKwani ukuona wakati anataka kupiga tikitaka mlinzi wa al ahly alikuwa kaisha weka kichwa.
Umemkomesha mbwiga huyo
Mechi ya klabu bingwa Afrika hatua ya makundi GROUP D imemalizika kwa timu hizo kugawana pointi moja moja baada ya kufungana 1 - 1
Refa amelikataa goli safi la JS SAOURA lililofungwa ktk muda wa nyongeza. Ama Kweli ukiwa timu kubwa raha.
Al Ahly ilikuwa wafe hii game. Sio mbaya. BADO TUNA NAFASI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini mpigaji hakugusa kichwa cha beki.Kwani ukuona wakati anataka kupiga tikitaka mlinzi wa al ahly alikuwa kaisha weka kichwa.
Mbona unishi kwa hisia? Kama jamaa mpira wa kichwa kaingiza mguu wakati mwenzake kapeleka kichwa tayari ni kosaLakini mpigaji hakugusa kichwa cha beki.
Lengo la mpigaji ni kupiga mpira na alifanya hivyo.
Nina uhakika hilo goli lingefungwa upande wa Al-Ahally lingekuwa goli halali.
Al-Ahally ndio timu inayoongoza kwa ubora wa kiwango hapa Afrika.
Nilitegemea sana kuona mpira mzuri ukichezwa na hii timu bora kabisa.
Lakini nauona ujanjanja mwingi na sio soka ya kuiweka katika kiwango cha kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Mbumbumbu zina viporo hadi klabu Bingwa.Umemkomesha mbwiga huyo
Lakini mpigaji hakugusa kichwa cha beki.
Lengo la mpigaji ni kupiga mpira na alifanya hivyo.
Nina uhakika hilo goli lingefungwa upande wa Al-Ahally lingekuwa goli halali.
Al-Ahally ndio timu inayoongoza kwa ubora wa kiwango hapa Afrika.
Nilitegemea sana kuona mpira mzuri ukichezwa na hii timu bora kabisa.
Lakini nauona ujanjanja mwingi na sio soka ya kuiweka katika kiwango cha kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi Al ahly ni vibonde kama wameshindwa kumfunga huyo kibonde wa Simba
Fungua ofisi umrithi marhum Sheikh Yahya Hussein.Watu mnalazimisha JSS imecheza vizuri jana ili al ahly waonekane vibonde kwa simba sio! ππ, al ahly na simba wapi na wapi ni kama Man city na Sheffield United...
katika kundi nawatabiria hawa ndiyo watakaopita
Vita Club and Al ahly....
Watu mnalazimisha JSS imecheza vizuri jana ili al ahly waonekane vibonde kwa simba sio! [emoji23][emoji23], al ahly na simba wapi na wapi ni kama Man city na Sheffield United...