Klabu Bingwa Afrika: Refa awabeba Al Ahly nyumbani kwa JS Saoura

Mechi ya klabu bingwa Afrika hatua ya makundi GROUP D imemalizika kwa timu hizo kugawana pointi moja moja baada ya kufungana 1 - 1
Refa amelikataa goli safi la JS SAOURA lililofungwa ktk muda wa nyongeza. Ama Kweli ukiwa timu kubwa raha.
Al Ahly ilikuwa wafe hii game. Sio mbaya. BADO TUNA NAFASI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado mna nafasi JS Soura mmecheza mechi mbili bado mechi 4
 
Mechi ya klabu bingwa Afrika hatua ya makundi GROUP D imemalizika kwa timu hizo kugawana pointi moja moja baada ya kufungana 1 - 1
Refa amelikataa goli safi la JS SAOURA lililofungwa ktk muda wa nyongeza. Ama Kweli ukiwa timu kubwa raha.
Al Ahly ilikuwa wafe hii game. Sio mbaya. BADO TUNA NAFASI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunasubiria na nyie refa awabebe
 
Kweli
Goli la pili la JS Saoura ni goli safi kabisa, angalieni kwenye youtube.
Mi nimeangalia mara nyingi na sioni tatizo lolote, mtu akaletewa pasi kapiga tiktak mpira umeenda wavuni.
Kama kuna kosa wataalamu mtueleze.
Hapa hatuzungumzi kwa manufaa ya timu fulani, tuzungumze mpira, kwani hata JS Saoura angeshinda hiyo timu ingenufaikaje ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mechi ya klabu bingwa Afrika hatua ya makundi GROUP D imemalizika kwa timu hizo kugawana pointi moja moja baada ya kufungana 1 - 1
Refa amelikataa goli safi la JS SAOURA lililofungwa ktk muda wa nyongeza. Ama Kweli ukiwa timu kubwa raha.
Al Ahly ilikuwa wafe hii game. Sio mbaya. BADO TUNA NAFASI.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa hiyo Simba bado anaongoza kundi lake kwani ana mechi moja mkononi.... safi sana...tehtehtehteh...Simba wamevuruga hujuma zote Kinshasa
 
Kwani ukuona wakati anataka kupiga tikitaka mlinzi wa al ahly alikuwa kaisha weka kichwa.
Lakini mpigaji hakugusa kichwa cha beki.
Lengo la mpigaji ni kupiga mpira na alifanya hivyo.
Nina uhakika hilo goli lingefungwa upande wa Al-Ahally lingekuwa goli halali.
Al-Ahally ndio timu inayoongoza kwa ubora wa kiwango hapa Afrika.
Nilitegemea sana kuona mpira mzuri ukichezwa na hii timu bora kabisa.
Lakini nauona ujanjanja mwingi na sio soka ya kuiweka katika kiwango cha kwanza

Mbona unishi kwa hisia? Kama jamaa mpira wa kichwa kaingiza mguu wakati mwenzake kapeleka kichwa tayari ni kosa
 
Lakini mpigaji hakugusa kichwa cha beki.
Lengo la mpigaji ni kupiga mpira na alifanya hivyo.
Nina uhakika hilo goli lingefungwa upande wa Al-Ahally lingekuwa goli halali.
Al-Ahally ndio timu inayoongoza kwa ubora wa kiwango hapa Afrika.
Nilitegemea sana kuona mpira mzuri ukichezwa na hii timu bora kabisa.
Lakini nauona ujanjanja mwingi na sio soka ya kuiweka katika kiwango cha kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app

Bro sio lazima uguse kichwa ndo iwe faulo. Mpira wa kuwania kwa kichwa halafu mmoja akonesha nia ya kuuendea kwa mguu inakuwa faulo bila mjadala.
 
Basi Al ahly ni vibonde kama wameshindwa kumfunga huyo kibonde wa Simba
 
Watu mnalazimisha JSS imecheza vizuri jana ili al ahly waonekane vibonde kwa simba sio! 😂😂, al ahly na simba wapi na wapi ni kama Man city na Sheffield United...

katika kundi nawatabiria hawa ndiyo watakaopita
Vita Club and Al ahly....
 
Fungua ofisi umrithi marhum Sheikh Yahya Hussein.
Kwani kumekuwa na upungufu wa watabiri kutokea afariki.
Mpira na utabiri wapi na wapi?Ni mapopoma tu ndio wanaoamini utabiri.
 
Watu mnalazimisha JSS imecheza vizuri jana ili al ahly waonekane vibonde kwa simba sio! [emoji23][emoji23], al ahly na simba wapi na wapi ni kama Man city na Sheffield United...

katika kundi nawatabiria hawa ndiyo watakaopita
Vita Club and Al ahly....

Hizo ni chuki zako simba ni timu bora hili kundi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini mpigaji hakugusa kichwa cha beki.
Lengo la mpigaji ni kupiga mpira na alifanya hivyo.
Nina uhakika hilo goli lingefungwa upande wa Al-Ahally lingekuwa goli halali.
Al-Ahally ndio timu inayoongoza kwa ubora wa kiwango hapa Afrika.
Nilitegemea sana kuona mpira mzuri ukichezwa na hii timu bora kabisa.
Lakini nauona ujanjanja mwingi na sio soka ya kuiweka katika kiwango cha kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa timu yetu ya Simba inanufaika vipi na hoja hii??!!!
 
Back
Top Bottom