Klabu bingwa Afrika: Simba SC 1-0 Al Ahly

Klabu bingwa Afrika: Simba SC 1-0 Al Ahly

Iam posting from Canada I don't understand your language. Is this a final result? ***** mtakufa kwa roho mbaya
Mkuu wachana nao.
Ndio Mwigulu Nchemba kawapatia jina jipya wanaitwa viruka njia.Yaani vyura sasa wanaitwa viruka njia.
 
Wamezifuata point 3 zao ili wafikishe point 10 katika msimamo.
Halafu mda huo mtakaojichanganya nyinyi kujifanya mnashambia ili mpate goli kumbuka counter attack za waarabu na namna walivyo makini kwenye matumizi ya nafasi wanazopata. Bora na ninyi mpaki basi tu walao mfungwe goli 3.
Njoo huku na waarabu wako
 
Back
Top Bottom