Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na uzuri hakukuwa na mwarabu karibu. Mbona tungeshainuka waarabu sie. 😂😂😂Niliwaambiaje mimi? Huyu jamaa angeinyangua kidogo Simba mngeshalala.
Manula ni overrated, huwa anafanya makosa ya kijinga sana.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yaani mnakosa sana aiseee. Msije lizwa tu baadae.Aiseee tunakosa goli
Kumbe mko wengi. Kwa nini sasa mnapandwa presha kiasi hicho? 😀😀😀Mimi napata update hapa ila Niko zangu nachek game ya arsenal na west ham maana nitapata presha nachungulia mue mnasema ngap ngap
Sijawahi kuwa mzalendo kwa Mikia FC, tuvumiliane Mkuu.Idawa maendeleo hayana chama yaan unamshabikia mwarabu sawa bana
PoleSijawahi kuwa mzalendo kwa Mikia FC, tuvumiliane Mkuu.
Na uzuri hakukuwa na mwarabu karibu. Mbona tungeshainuka waarabu sie. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nashukuru Mungu hajaja... Lengo langu limetimiaa... Nasonga mbele injiniaaaHahahhha
Kweli jamani haujaja hata kutembelewa na mgeni
Acha tu yaaniYaani mnakosa sana aiseee. Msije lizwa tu baadae.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nashukuru Mungu hajaja... Lengo langu limetimiaa... Nasonga mbele injiniaaa
Nasikia arsenal katobolewa kimoja huko ...Mimi napata update hapa ila Niko zangu nachek game ya arsenal na west ham maana nitapata presha nachungulia mue mnasema ngap ngap
Hahaha hahaha hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usiku mgeni atakuja siku bado haijaisha injinia wangu