kibol
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 4,521
- 2,747
Kanifinyia utamu sana hawa nyumbu wa Algeria halafu akauweka kambani, mnyama moja...... Yes, we can.Maaaaaaaaaanh
Okwi ni genius aiseeee. Goli zuri, mpambe mimi sina neno. [emoji4]
Sent from my iPhone using JamiiForums