Hawa jamaa plan yao ni kutafuta draw, pengine baada ya hili goli wanaweza kufunguka zaidi.Waarabu wamelipaki wallahi!
Naanzaje eti kununa mzee mama kwa mfano [emoji1787][emoji1787]Wewe
Yaani. Bure kabisa hawaWapambe tuvumilie tu, matumaini yetu yapo kwa timu nyingine zilizobaki sio hawa mandezi.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Asubutuuuuuuu
Jipeni moyo
Tuendelee kuwa pamoja mtani
Mzee mama naona mmeshaoteaNaanzaje eti kununa mzee mama kwa mfano [emoji1787][emoji1787]
Nimejaa mwanzo mwishoKupita kimya kimya.
Bado tuna matumaini kupindua meza kibabe [emoji56]Ebu muulize na ndg yangu Shadeeya haupo peke yako mkuu
Game ya arsenal ngapi ngapi? Leo lazima walale.Mimi napata update hapa ila Niko zangu nachek game ya arsenal na west ham maana nitapata presha nachungulia mue mnasema ngap ngap
Mnaanza kujivua tutasikia mengi leoMimi leo sio mtani wako, ni mpambe wa Waarabu hahaaaaa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Endelea kuotaHawa jamaa plan yao ni kutafuta draw, pengine baada ya hili goli wanaweza kufunguka zaidi.
Tutaziweka pale pale tulipoziweka baada ya mechi ya Nkana. 😂😂😂😂 Hatari sana hizi mambo za Utani.
Mie namjua kuliko unavyofikiriaaa....Hahhahahha halafu tukipinga inakuwaje eti injinia
Utawasaliana na TAsubutuuuuuuu
Tuma kwanza tigo pesa shemela ndio ninywe