Nishapaki begi lakoNahamaje Mdogo wangu. [emoji23][emoji23][emoji23] nipo kwa waarabu mwanzo mwisho. [emoji23][emoji23]
Akuuuu
Mambo yakiwa mengi nazimaga data
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wouzeeeerrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] ndio unaingia mama
Mungu atatusaidia mpenziYaani natamani kocha apaki bus walinde tu goal[emoji3]
Kabisaaaaa. Kikipigwa kipyenga cha mwishi ndio tunakubali matokeoWaarabu hatuna utamaduni wa kukata tamaa.
HatujakataaaMpira ni dk 90
Na cha ajabu hata sijui kuchoka kunakaa wapi. πππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm sitii neno huyo simba mwenzangu
Sina longolongo,subiri mpira uisheMh
Umeshaanza longolongo zako kuwasiliana na T ndio nn
NakaziaHii mechi ishaisha, bado goli la Kagere na la Chama.
πππ kama nakuona vileee. πππKwani kuna habari gani huko..Hapa kwetu Kiembesamaki Network hakuna
This Is Simba...SimbaNguvuMoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Na cha ajabu hata sijui kuchoka kunakaa wapi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahhaha umekaribia mda mzuri sana
Thubutuuuuu, siwezi kuwa timu moja na kichwa maji Manara mimi.
Mimi na Waarabu damdam, zaidi nawasubiri Al Ahly kwa hamu [emoji39].
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mh unajua mm mtu mzima