Asanteeee jamani
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
MhNjoo
Ndo mekalia dompo
Sasa ulitaka wote tushabikie mikia. Khaaa. Mlioko huko mnatosha.Subiria uletewe..ndio maana hatufiki mbaaali.Roho za kwanini...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja CAF wakuletee VAR uje ufute hayo Magoli....Sasa ulitaka wote tushabikie mikia. Khaaa. Mlioko huko mnatosha.
Tusipangiane jamaani. πππ
Zawadi zawadi zawadiπ΅π΅ naimba tu πππAsanteeee jamani
Wacha kuteseka Mkuu. We unatakiwa ushangilie saa hizi.Ngoja CAF wakuletee VAR uje ufute hayo Magoli....