Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

Wacha kuteseka Mkuu. We unatakiwa ushangilie saa hizi.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Waarabu wana Fitna huwezi zisahau nakumbuka sana mambo yao tukiwa kwao...wacha tunyweeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Attachments

  • 1547304964507.png
    1547304964507.png
    82.2 KB · Views: 36
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Waarabu wana Fitna huwezi zisahau nakumbuka sana mambo yao tukiwa kwao...wacha tunyweeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ewaaaaaaa. Haya ndio maneno sasa Mtani.
 
Nyie wakuda wa Msimbazi hongereni, mmecheza vizuri.
Mpira umeisha sasa mambo mengine yaendelee, ushindi wenu ni sifa kwetu sote maana sote tu Watanzania.
Mengine yalikuwa changamsha genge tu [emoji41].

Tanzania comes first [emoji12]

Sent from my iPhone using JamiiForums
Umenifurahisha mmama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom