Tychob
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 3,972
- 5,170
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutaenda kupashaTupeleke wachezaji wengine nini huko?
Full time Simba 3-0 SSC. Hongereni sana Mikia FC ila kelele hatutaki mjini..
Hii timu ni mdebwedo msijisifu sana,tunawasubiri vitalO na Alalhy
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji849][emoji849][emoji1787]Hawa jamaa walikosea sana kuvaa jezi zenye rangi ya mke wa Mnyama, hapa mnyama atakuwa kadhani ni MKE wake akajipigia bao tatu.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Wacha kuteseka Mkuu. We unatakiwa ushangilie saa hizi.
Hahahaaa. Umepata dada.Hahhaha halafu nilisahau jamani
Zawadi yangu jamani
HahahaaaaaaaaInjinia somaaaaaa uko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ewaaaaaaa. Haya ndio maneno sasa Mtani.😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Waarabu wana Fitna huwezi zisahau nakumbuka sana mambo yao tukiwa kwao...wacha tunyweeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Huu utabiriii umefanya kazi mubasharaaaLeo simba anapiga kamba
3:1
Au
2;0
Half time naona mnyama atapiga kamba 1 kwanza ya advance
Simba Nguvu 1
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenifurahisha mmamaNyie wakuda wa Msimbazi hongereni, mmecheza vizuri.
Mpira umeisha sasa mambo mengine yaendelee, ushindi wenu ni sifa kwetu sote maana sote tu Watanzania.
Mengine yalikuwa changamsha genge tu [emoji41].
Tanzania comes first [emoji12]
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]Hawa jamaa walikosea sana kuvaa jezi zenye rangi ya mke wa Mnyama, hapa mnyama atakuwa kadhani ni MKE wake akajipigia bao tatu.