Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

Kwakweli jipongezeni maana hapa wapambe tumekuwa wapole ingekuwa viceversa mngekoma leo.[emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
Yaani wasingeandika saa hizi. πŸ˜ƒπŸ˜ƒ washukuru Mungu
 
Dharau kama hizi tulizitarajia ngoja waje wanaume.
Hahaaah mshabadilika tena..hawa sio wanaume??...mashabiki wa gongowazi ndo mashabiki pekee wanaoweza kushabikia timu tatu tofauti ndani ya siku tatu
 
Full time Simba 3-0 SSC. Hongereni sana Mikia FC ila kelele hatutaki mjini..

Hii timu ni mdebwedo msijisifu sana,tunawasubiri vitalO na Alalhy
Mlianza mbabane...mkaja nkana..mkahamia kwa hawa...sahv mmebadilishia gia angani...sisi ndo simba tunatatua marinda yote ya mashabiki wa gongowazi na timu mnazoshangilia
 
Huyu kocha wa Js anaongea vitu gani... Yaani vya magazeti ya udaku kayaweka rohoni... Eti magazeti imesema Js ni timu mbovu, this is a rubbish
 
Hahaaa. Ndio nashangaa ujue. Sababu yawapasa washangilie saa hizi na si kutoka povu.

Itakuwa hawajui maana ya Utani.

Halafu sisi mbona hatukuwa na tatizo nao? Sisi tuliamua kushabikia Waarabu period.



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Halafu kwa timu gani kali ya kutuletea dharau? Kile kibonde 3-0 sio ya kujisifu [emoji23][emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kweli kabisa waeza sema bora Nkana alikuwa na uhai na sio hawa Waarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…