Cheka tu[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji85]
π€£π€£π€£ kikawaida ni ngumu sana kuleta Utanzania kwenye Simba na Yanga haitakaa itokee labda wale washabiki hasa ka kina Steve lia lia ila kina sie haitakaa itokee tukaishabikia Simba labda siku ije icheze yenyewe Uwanjani. π€£π€£π€£π€£Yanga ikishiriki kimataifa misimu mitatu iliyopita mlikuwa mnahama hivyo hivyo.
Sawa tu muda wenyewe utaongeaNdiooo.
1 - 2 π€£π€£π€£
Tucheke tu wote sababu muda wa kununa unakaribia. π€£π€£π€£Cheka tu
18 minutes leftTucheke tu wote sababu muda wa kununa unakaribia. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na ndio utamu wa Watani wa jadi. Wote tukiwa timu moja hautakuwa mpira tena. π€£π€£Sawa tu muda wenyewe utaongea
Maneno yenu yanatutia nguvu kuendelea mbele zaidi.
Simba nguvu moja
AmenSawa tu muda wenyewe utaongea
Maneno yenu yanatutia nguvu kuendelea mbele zaidi.
Simba nguvu moja
Yah. Uko sahihi kabisaaaa.18 minutes left
Kweli kabisa ndo utamu wenyeweNa ndio utamu wa Watani wa jadi. Wote tukiwa timu moja hautakuwa mpira tena. π€£π€£
Tukutane baada ya gameYah. Uko sahihi kabisaaaa.
Yanga ikishiriki kimataifa misimu mitatu iliyopita mlikuwa mnahama hivyo hivyo.
Hivyo mtuvumilie tu. Sababu utani wa jadi siku zote auhitaji hasira. ππKweli kabisa ndo utamu wenyewe
Tupo Dada. Leo Mikia kazi wanayo.Mashabiki wenzangu JS Saoura mko wapi? Mambo yameiva huku... naona jamaa wameamua kututeka Yanga kabisa, sio kwa jezi hizi jamani hahaaaaa.
Sent from my iPhone using JamiiForums