Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

Yanga ikishiriki kimataifa misimu mitatu iliyopita mlikuwa mnahama hivyo hivyo.
🤣🤣🤣 kikawaida ni ngumu sana kuleta Utanzania kwenye Simba na Yanga haitakaa itokee labda wale washabiki hasa ka kina Steve lia lia ila kina sie haitakaa itokee tukaishabikia Simba labda siku ije icheze yenyewe Uwanjani. 🤣🤣🤣🤣
 
Mikia wanashinda..Yanga tumeshawafunga wa Algeria wawili kwa mchina majuzi tu
 
Back
Top Bottom