Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

Niko njema kabisa Alhamdulillah..Hatuna vijembe, tumemaliza kazi tunasonga mbele

Nasikia mnatofautia huko kuhusu waarabu, wengine wanasema si waarabu ni wahamiaji..wengine ni waarabu lakini hawajui mpira
[emoji120][emoji120] mie Alhamdulillah nimeamka salama. Sijui wewe?

Najipanga tu kwa vijembe vyenu kesho huko Maofisini sababu najua hatutakunywa maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko njema kabisa Alhamdulillah..Hatuna vijembe, tumemaliza kazi tunasonga mbele

Nasikia mnatofautia huko kuhusu waarabu, wengine wanasema si waarabu ni wahamiaji..wengine ni waarabu lakini hawajui mpira

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni jambo la kumshukuru Allah. Hahahaaa. Haya niwatakie kila la kheri katika kuyaoga magoli huko mbeleni.

Wale ni waarabu ila Mdebwedo sana aisee.
 
Yaani leo huyu mwarab koko FaizaFoxy asipojiua kwa matokeo haya, basi atakuwa na hitilafu ndani ya bongo yake. Sijapata ona demu alosto kama yeye.
 
IMG_20190113_083231.jpg
 
Back
Top Bottom