Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

Haka ka Manula leo lazima kawalize kama kalivyotunyima nafasi ya Afcon [emoji35]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yani nina rahaaaaaaa. Tukishinda leo nitazidi kufurahi.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama mimi nitafurahi ajabu. Ni mwendo wa kuhama timu tu mpaka tone la mwisho.

Si wanasemaga adui aombewe njaa ee? 😜😜
 
Haka ka Manula leo lazima kawalize kama kalivyotunyima nafasi ya Afcon [emoji35]

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ujue utafanya watu wazimie huko. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kama mimi nitafurahi ajabu. Ni mwendo wa kuhama timu tu mpaka tone la mwisho.

Si wanasemaga adui aombewe njaa ee? [emoji12][emoji12]

Mimi mbona tayari ktk hilo kundi hizo timu 3 nyingine ni zangu? [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna mtu ameshika bango likisema "NO YOU CAN'T, JS SAOURA NI KISIKI CHA MPINGO"....πŸ˜€
 
Ujue utafanya watu wazimie huko. [emoji3][emoji3][emoji3]

Yani na wakifungwa leo nitayakoga matusi ya kakangu GENTAMYCINE mpaka nikome.

Watuvumilie tu, sitokaa nisahau ile siku tuliyocheza na Al Ahly uwanja wa taifa 2011 kama sikosei uwanja huuhuu wa leo nilikuwepo nilitaka kulia!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi mbona tayari ktk hilo kundi hizo timu 3 nyingine ni zangu? [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my iPhone using JamiiForums
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tuko wote. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kabisaa watuvumiliage tu. Na ndio utamu wa utani wa jadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…