Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kawaida yetu kuujaza uwanjaIla mmejua kuujaza uwanja. Nawaza tu matokeo yakiwa kinyume na mnavyofikiria sijui mtatokaje. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawaida yetu kuujaza uwanjaIla mmejua kuujaza uwanja. Nawaza tu matokeo yakiwa kinyume na mnavyofikiria sijui mtatokaje. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mashabiki wenzangu JS Saoura mko wapi? Mambo yameiva huku... naona jamaa wameamua kututeka Yanga kabisa, sio kwa jezi hizi jamani hahaaaaa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Usijali Mtoto. Mie ntakuwepoTukutane baada ya game
Sawa dada/mamaUsijali Mtoto. Mie ntakuwepo
Mufikirie na namna ya kutoka. Maana kifo nakiona.Kawaida yetu kuujaza uwanja
Tupo Dada. Leo Mikia kazi wanayo.
Kama mimi nitafurahi ajabu. Ni mwendo wa kuhama timu tu mpaka tone la mwisho.Yani nina rahaaaaaaa. Tukishinda leo nitazidi kufurahi.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ujue utafanya watu wazimie huko. 😀😀😀Haka ka Manula leo lazima kawalize kama kalivyotunyima nafasi ya Afcon [emoji35]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Msisahau kuondoka kwenda kwenu uarabuni mechi ikiisha[emoji28][emoji28]
Kama mimi nitafurahi ajabu. Ni mwendo wa kuhama timu tu mpaka tone la mwisho.
Si wanasemaga adui aombewe njaa ee? [emoji12][emoji12]
Hatuondokiiiiiiii, tunawasubiri Al Ahly [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ujue utafanya watu wazimie huko. [emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂 tuko wote. 😂😂Mimi mbona tayari ktk hilo kundi hizo timu 3 nyingine ni zangu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji34]Mimi mbona tayari ktk hilo kundi hizo timu 3 nyingine ni zangu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kabisaa watuvumiliage tu. Na ndio utamu wa utani wa jadi.Yani na wakifungwa leo nitayakoga matusi ya kakangu GENTAMYCINE mpaka nikome.
Watuvumilie tu, sitokaa nisahau ile siku tuliyocheza na Al Ahly uwanja wa taifa 2011 kama sikosei uwanja huuhuu wa leo nilikuwepo nilitaka kulia!
Sent from my iPhone using JamiiForums