magagafu
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,196
- 1,309
Usichokielewa Hapo Nini? Wao lazima wakuzomee wakiwa kwao Sasa kwann nawewe usiwazomee?Yaani umzomee MUMEO kisa upo kijijini kwenu? We kweli hamnazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usichokielewa Hapo Nini? Wao lazima wakuzomee wakiwa kwao Sasa kwann nawewe usiwazomee?Yaani umzomee MUMEO kisa upo kijijini kwenu? We kweli hamnazo
Ukichukia sisi haitusaidii kitu.
Unaumwa
yani wewe usisome halafu siku ya mtihani utegemee chabo ndo ufaulu??Ndio kazi ya shabiki hiyo maana shabiki ni mchezaji wa 12... wachezaji wanaakikisha ushindi ndani ya uwanja Mashabiki nje ya uwanja....nenda Africa kaskazini uone vitimbwi mafataki yatachomwa uwanjani tochi zitamulikwa golini kwa kipa wa timu pinzani yani vituko tupu hiyo ndio kazi ya mashabiki kama mchezaji wa 12
Sent using Jamii Forums mobile app
Js saoura mungu yupo juu yenu kuhusu swala la mashabiki hata msiwe na hofu mtawakuta uwanjani