Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatimaye umekuja. 💃💃💃Kila la heri mnyama yangu [emoji91][emoji91][emoji91]
Kila la kheri Js Soura.
JamaniiiMashabiki wenzangu wa JS Saoura mko wapi? Mambo yameiva huku... naona jamaa wameamua kututeka Yanga kabisa, sio kwa jezi hizi jamani hahaaaaa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama mimi nitafurahi ajabu. Ni mwendo wa kuhama timu tu mpaka tone la mwisho.
Si wanasemaga adui aombewe njaa ee? [emoji12][emoji12]
Mungu atusaidie tu tushinde hii mechiYani nina rahaaaaaaa. Tukishinda leo nitazidi kufurahi.
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatimaye umekuja. [emoji126][emoji126][emoji126]
Upo ndugu yangu?
Kabisaaa. Tushajitolea wenyewe. Hatuoni tabu kuhama hama. 😂😂Kwenye ubora wako dada akee
Hahahaha kwakweli mna roho mbayaKabisaaa. Tushajitolea wenyewe. Hatuoni tabu kuhama hama. [emoji23][emoji23]
Ipo Dada ipo. Ahadi ni deni.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo mm jamani naona tunapishana tu hivi zawadi yangu na leo si ipo
Angalia kupitia simu kwenye app ya Azam ZBC 2
Wachaaaa weee. 😜😜Mpaka dakika hii kwa kuangalia huu mtanange, wekundu wa msimbazi wananipa matumaini makubwa mno.