Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

Mpaka dakika hii kwa kuangalia huu mtanange, wekundu wa msimbazi wananipa matumaini makubwa mno.
Tatito huyo beki wa kati Juuko anacheza faulo za hatari tena karibia kabisa kwenye la 18.
 
Hawa Waarabu hizi free kicks 2 hata mimi ningefunga. [emoji35]

Sent from my iPhone using JamiiForums
Umeona, wapuuzi kweli faulo zote wanagongesha kwenye ukuta wa Simba.
 
Back
Top Bottom