roservelt
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,418
- 1,514
Ndio tunataka wafunguke...tupige counter okwi aweke nyingine 2Hawa jamaa plan yao ni kutafuta draw, pengine baada ya hili goli wanaweza kufunguka zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio tunataka wafunguke...tupige counter okwi aweke nyingine 2Hawa jamaa plan yao ni kutafuta draw, pengine baada ya hili goli wanaweza kufunguka zaidi.
Yamekuwa hayo[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sisi uadui wetu ni tukutanapo, kama hivi wala hatunaga shida na nyie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Na tunashindaMpira ni dk 90
Mmmh. Weweeee. 🙄🙄
Sio Vyura wa kufungwa na makirikiri Taifa, kaa kimya mwanaume yupo kazini
Waarabu hatuna utamaduni wa kukata tamaa.Ujakata tu tamaa? Ujasiri wako sio wa nchi hii
Hakika. Hawa wa leo MDEBWEDO.
Subiri mpira uishe!Na tunashinda
Simba akishinda sisi maisha yapo pale pale tu, maendeleo hayana Chama.Hahahaaaa. Aiseeee.
Ila umesema kweli Mkuu.
Mmmh. Weweeee. [emoji849][emoji849]
Sawa mwarabuSubiri mpira uishe!
Mtaenda nazo Algeria Mkuu usiwe na wasi wasi
Sio kuotea injinia hizo ndio zetu bwanaMzee mama naona mmeshaotea