GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,286
- 6,736
Ratiba inaonesha kuwa matangazo ya mechi yataanza saa 10.30 kwa saa
za Afrika mashariki Live ndani ya AZAM SPORT2. Kutokana na majira tuliyonayo
ya mvua na matatizo ya umeme huenda baadhi ya maeneo tusiione mechi hii
hivyo tukutane hapa ili kuwashuhudia mabingwa hao wa Tanzania kupitia update
za wadau. KILA LA HERI YOUNG AFRICAN SPORTS CLUB.
UPDATES
Yanga wamefanikiwa kufuzu kwa jumla ya magoli 2 - 1
Full Time: St Louis 1 - Yanga 1
Goal; St Louis wanasawazisha katika dakika ya 92
Dakika ya 90; zimeongezwa dakika 4
Dakika ya 85; Yanga bado wanaongoza kwa goli 1-0
Dakika ya 80; St Louis 0 - Yanga 1
Dakika ya 60; Yanga wanafanya mabadiliko anatoka Makapu anaingia Raphael Daud
Kipindi cha pili kimeanza
Halftime: St Louis 0 - Yanga 1
Goal; Ibrahim Ajib anaifungia Yanga goli katika dakika ya 45
Dakika ya 30; Bado ubao wa magoli unasomeka 0 - 0
Dakika ya 15 bado 0-0
Dakika ya 6; Yanga wanafanya shambulizi hapa , Tshishimbi anapiga kichwa ila kipa anaokoa
======
Wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika ([HASHTAG]#CAFCL[/HASHTAG]), Yanga wamesonga mbele katika mashindano hayo licha ya kutoa sare ya goli 1-1 na Saint Louis ya Shelisheli, kwa kuwa na ushindi wa jumla wa goli 2-1.