Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
St Louis 3 Yanga 1 dk ya 89Dah umeme umekatika, mpk dk 62 yanga alikuwa anaongoza 1 gs Ajib.
DuSt Louis 3 Yanga 1 dk ya 89
Acha unazi wa Simba wewe, kwa mpira ule ile timu haina uwezo kabisa wa kufunga bao tatu, na hata hivyo Yanga ni wajinga sana sana, kwa mechi ya leo walitakiwa kabla ya mapumziko wawe hata na bao 4 kwani mpira wote umekuwa upande wao kwa ujinga wao wanacheza kama hawataki kucheza, pasi za hovyo hovyo tu, hawana kasi ya mchezo, wanacheza mpira upande mmoja tu na wala hawapigi mashutiSt Louis 3 Yanga 1 dk ya 89
FT St. Louis 1-1 Dar Young Africansmatokeo VP?
full time?FT St. Louis 1-1 Dar Young Africans
ngapi ngapi Toa matokeoHili pipa la Yanga lina mkosi. Bora Kabwili aendelee kudaka
Yani tufungwe na mabinti?St. Lous tandika hao Yanga bao 2 bila
Daima mbele nyuma mwikoDar Young Africans mbele kwa mbele
Kwa mashaka sana na tabuMuhimu ni kuwa tumesonga mbele.
Hata hivyo tunacheza ligi tofauti mnapotea Sana kujilinganishaKwa mashaka sana na tabu