Klabu bingwa hatua ya Robo fainali kuendelea leo kwa michezo miwili Raja Casablanca atakuwa mwenyeji dhidi ya TP Mazembe mchezo utakaochezwa saa 22:00 usiku.
Mchezo mwingine ni mabingwa watetezi kwa kombe hili Esperance Tunis wao watakuwa wageni dhidi ya Zamalek hapo mjini Cairo game litakuwa mida ya. Saa 19:00 usiku.