Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Hatimaye Simba wamepoza uchungu wao baada ya Mazembe kutolewa. Hongereni SIMBA SCTuendelee kuwa washabiki.
Tusubiri msimu ujao, lakini tunakosea wapi?Hatimaye Simba wamepoza uchungu wao baada ya Mazembe kutolewa. Hongereni SIMBA SC
Tunakosea mambo matatu. Mosi, usajili na kikosi hufanywa na viongozi badala ya benchi la ufundi. Pili, maandalizi kabla ya michuano huwa finyu na zaidi midomoni kuliko uhalisi. Tatu, kufungwa au kutoa sare uwanja wa nyumbani. Hayo ni kwa timu ya taifa na klabu zinazotuwakilisha kimataifa.Tusubiri msimu ujao, lakini tunakosea wapi?
Waache si viherehereTP Mazembe bora wangeiachia Simba kuinga mkono ingefika mbali
"Sisi" Yanga Afulika tuliokuwa tunawashabikia "Wazembe" tunaruhusiwa kulia kwa kwikwi?Hatimaye Simba wamepoza uchungu wao baada ya Mazembe kutolewa. Hongereni SIMBA SC
Mkuu, Wydad wameitoa MamelodiSafi sana Wydad..mmetupigia hao kenge
Nakuunga mkono ingawa kwenye soka lolote lawezekana Mkuu.Esperance watashinda taji tena.
Wydad alimfunga esperance kwenye super cup juzi tu hapa, kwahiyo sio rahisi kihivyooNakuunga mkono ingawa kwenye soka lolote lawezekana Mkuu.
Mkuu, Super Cup haikuwa Raja Casablanca?Wydad alimfunga esperance kwenye super cup juzi tu hapa, kwahiyo sio rahisi kihivyoo
Nimefurahi kupita kiasi kwa mazembe kutolewa
Susls lako ni zuri na Lina chonga Kama msumeno!!Tusubiri msimu ujao, lakini tunakosea wapi?