Klabu Bingwa Barani Afrika: Waarabu Esperance na Wydad Casablanca watinga fainali

Klabu Bingwa Barani Afrika: Waarabu Esperance na Wydad Casablanca watinga fainali

Mwarabu wa kwanza kafa 3-0 na wa pili kafa 1'0 hapa mkuu. Kwa simba mwarabu mwepesi kama kimsukuma mlevi

We jamaa cjui unawaza nini. Waarabu kabisa! Mamelodi na mazembe wameshindwa sembuse simba!hahaaa. Waarabu wataendelea kusumbua mpaka mwisho wa dunia.
 
Mkuu...ukweli ni kwamba vilabu vyetu havina pesa ya kusajili cream...na mbaya zaidi hatuna mfumo mzuri wa kuzalisha hizo cream....lakini hata hizo chache tunazokua nazo zinachukuliwa na timu zenye uwezo.
Samatta na Patrick Ochang walinunuliwa na TP Mazembe lakini Simba haina uwezo wa kumnunua mchezaji tegemeo wa TP Mazembe....Mfano juzi tu Ameuzwa Makusu wa As Vita huko Morocco kwa 1.3 bilion ya Tanzania na mshahara wake kwa mwezi ni takriban 8.5 Milion ya Tanzania kwa mwezi... naweza kusema vilabu vyetu havina uwezo wa kufanya hivi...ndo mana hata wachezaji wakigeni kwetu wengi hawechezi timu zao za taifa wanakuja kuhustle tu huku.
Mshahara wa million 8 mbona Simba wapo wanaopata
 
Waarabu wataendelea kutesa kama kawa...Mungu ndivyo alivyowapa kipaji...
 
kwanzia robo fainali ni game mbili tu moja ugenini na moja nyumbani. Hadi fainali ipo hivyo hivyo, sasa tupe rekodi ya Simba ikiwa ugenini. kafungwa tano na Al Ahyl ugenini . Je huyu bingwa mtetezi mngewezaje kumtoa?
Strategy zinakuwa tofauti wew. Wew unadhani ingekuwa mtoano simba angefungwa goli tano.
 
Back
Top Bottom