Nadhani itakuwa rajaMkuu, Super Cup haikuwa Raja Casablanca?
Nina uhakika kama simba angecheza fainali na mwarabu yoyote kati ya hao tajwa hapo juu. Simba angekuwa bingwa
Mwarabu wa kwanza kafa 3-0 na wa pili kafa 1'0 hapa mkuu. Kwa simba mwarabu mwepesi kama kimsukuma mlevi
Nisikilize mimi mkuu. Mwarabu simba anampatia sana sijui kwanini. Na wenyew wanajua.We jamaa cjui unawaza nini. Waarabu kabisa! Mamelodi na mazembe wameshindwa sembuse simba!hahaaa. Waarabu wataendelea kusumbua mpaka mwisho wa dunia.
Siyo kweli ila Simba ndiyo ingeshinda wale Esperance ni wabovu kama YangaSimba angepigwa 8 na esperance mungu amewaepushia aibu
Siyo kweli ila Simba ndiyo ingeshinda wale Esperance ni wabovu kama Yanga
Mshahara wa million 8 mbona Simba wapo wanaopataMkuu...ukweli ni kwamba vilabu vyetu havina pesa ya kusajili cream...na mbaya zaidi hatuna mfumo mzuri wa kuzalisha hizo cream....lakini hata hizo chache tunazokua nazo zinachukuliwa na timu zenye uwezo.
Samatta na Patrick Ochang walinunuliwa na TP Mazembe lakini Simba haina uwezo wa kumnunua mchezaji tegemeo wa TP Mazembe....Mfano juzi tu Ameuzwa Makusu wa As Vita huko Morocco kwa 1.3 bilion ya Tanzania na mshahara wake kwa mwezi ni takriban 8.5 Milion ya Tanzania kwa mwezi... naweza kusema vilabu vyetu havina uwezo wa kufanya hivi...ndo mana hata wachezaji wakigeni kwetu wengi hawechezi timu zao za taifa wanakuja kuhustle tu huku.
Ni milion 85 siyo 8.5 nilikosea kidogo mkuu.Mshahara wa million 8 mbona Simba wapo wanaopata
Tatizo mnanunua mechi! Huko nje mechi haziuzwiTusubiri msimu ujao, lakini tunakosea wapi?
Hapo penyewe simba ilifika kwa bahati, muamala fc! Huko hakuna kubebwaTP Mazembe bora wangeiachia Simba kuinga mkono ingefika mbali
! Mnye mjipake! Kombe la ligi kuu tu mpaka mnunue marefa Leo klab bingwa nakuhakikishia mwakani hata makundi amtii mguuMwakani hili kombe letu. This is Simba kaka
Strategy zinakuwa tofauti wew. Wew unadhani ingekuwa mtoano simba angefungwa goli tano.kwanzia robo fainali ni game mbili tu moja ugenini na moja nyumbani. Hadi fainali ipo hivyo hivyo, sasa tupe rekodi ya Simba ikiwa ugenini. kafungwa tano na Al Ahyl ugenini . Je huyu bingwa mtetezi mngewezaje kumtoa?
Kheee... FUraha zingine za namna gani sijui...Hatimaye Simba wamepoza uchungu wao baada ya Mazembe kutolewa. Hongereni SIMBA SC
Mpira tuwaachie waarabu?Tuendelee kuwa mashabiki.