Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Sababu ya Tau kuanguka ilitokana na Marcelo kuacha mpira na kucheza mwili wa TauSidhani kama kuna foul labda wenzangu weja wanisaidie, issue ni kwamba marcelo yeye ndo alikuwa anamiliki mpira hivyo basi aliona kabisa percy anakuja kumkaba kwa nyuma kwahyo akatumia advantage hiyo ya kujiweke mbele ili akiguswa2 iwe faida kwake. NB siku hizi mchezaji akiwa kwenye box inabidi akabwe kama yai tofauti na miaka ya zamanii
Sababu ya Marcelo kuanguka ilikuwa ni kumhadaa mwamuzi sababu wakati wa tukio refa alikuwa nyuma hakuweza kuona vizuri kuwa ni trick Marcelo kaifanya.
Kinachokuja kuleta shida ni kutotaka kujiridhisha kwenye VAR