StarTimes Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 260
- 141
Habari zenu
Startimes kwa mara nyingine tunawaletea habari njema watanzania kuwa tumepata rights za kuonyesha michuano ya CLUB BINGWA DUNIANI katika chanel zetu pekee. Kwa africa michuano hii itawakilishwa na TP MAZEMBE ambapo watanzania na wateja wetu watapata fursa ya kuwaona MBWANA SAMATHA na THOMAS ULIMWENGU wakikiputa dhidi ya club kubwa duniani kama BARCELONA, LIVERPLATES na nyingine.
Michuano hii itaanza December 10 na tutaonyesha katika moja ya chanel zetu za sports. watanzania mkae mkao wa kula kwani tumedhamiria mipira yote ipatikane katika startimes pekee. Narudia kusema NI EXCLUSIVE Katika STARTIMES PEKEE na wala hutoiona katika ving'amuzi vingine