Klabu Bingwa Ulaya mzunguko wa 16 bora

Bayern wameshukwa kiwango sasa hivi hata bundasliga wameachwa mbali sana
Ni kweli! Bayern hawana makali kama msimu uliyopita ila kwenye mpira lolote laweza kutokea.
 
Hapo kweli kabisa mkuu siioni nafasi ya man u kusonga mbele..
 
Kwa hii draw naiona liverpool ikitoka mapema kibisa, haiwez himili kishindo cha hawa wababe Buyern munich,

Psg inaenda kumnyoosha man united goli za kutosha

Kwa mbali namwona pep akifika final UEFA champions league
View attachment 970465
We unakariri bro Bayern unayoijua wewe sio hii ya msimu huu. Kwenye ligi ya kwao hata bor Dortmund anawatoa pumu na Bayern aligongwa 3-2 sasa ninaamini Liverpool tunamtoa tena bila pressure yoyote mark my words.
Team zilizo kwenye form na ni hatari ni
Juventus
Dortmund
Psg
Liverpool wengine ni wagonga nyundo tu Kama Madrid full kuunga unga
 
Juve ya msimu huu ni wepesi tu. Kocha ana silaha nyingi na nzuri ila anashindwa kuzitumia, yeye anatengeneza mfumo wa kumpendelea CR7 basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…