Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwisho wa timu za GermanKwanini timu za Germany zimepangwa v/s timu za England
Tot vs dotmnd
Liver vs bayern
Man cty vs schalke 04
Kati ya Buyern na Liverpool nani hana bahati?Liverpool anaendelea na hatua nyingne kwa draw hyo, Munich ilikuwa zamani sasa hivi wala sio ya kuiamini na kibaya zaidi hainaga bahati pia
Naweka kumbukumbu sawa,nitarudi kwako baada ya gameBayern akimtoa klopp mi natambea bila nguo kariakoo
March sio mbaliNaweka kumbukumbu sawa,nitarudi kwako baada ya game
PSG wakiacha ujinga wao wanaweza kupita ila kwenye mpira lolote linaweza kutokea.Pray For Manchester united [emoji23][emoji23]View attachment 970499
Nitaamini uchawi upomnashangaa man u anakuja kubeba ndoo
Wewe liver hatolewi buyern tunapiga nyingi na msimu huu walivyo wabovu ndo kabisaaLivapuuuuu,Manure na Tottennyege nje
Bayern wameshukwa kiwango sasa hivi hata bundasliga wameachwa mbali sanaKLOPP KWA FORM ALIYONAYO HAWEZI FUNGWA NA HAO BAYERN
Kumbuka winter is here... Form watakazotoka nazo hawatarudi nazo febKLOPP KWA FORM ALIYONAYO HAWEZI FUNGWA NA HAO BAYERN
Kumbuka usiizungumzie liverpool ikaisahau kumzungumzia Klopp....Bayern ya sasa sio kama ya zaman...labda angekutana na Dortmund ila sio bayern wachovu tu sasa iviBuyern hawezi tolewa na liverpool hata siku mojaa, wako kwenye form