Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Usiku wa leo, Aprili 8, burudani kutoka UEFA Champions League inaendelea 🔥
Mashabiki wa soka duniani wanasubiri kwa hamu mechi hizi kali:
Ni vita ya vigogo, mbinu kali na presha ya hatua za mwisho!
Je, ni nani kuibuka mbabe hatua hii ya kwanza?

- FC Barcelona 🆚 Atlético Madrid
- Paris Saint-Germain 🆚 Liverpool FC