tuachane na hilo hivi kombe la mapinduzi imetolewa na timu ipi vilesasa nyie rage aliwaitaje kipindi yeye ndo mwenyekiti wa simba??
Shabiki 1 wa simba ni sawa na mashabiki 1000 wa yanga
Kwa mashabiki wenye utajiri, Gor ya Kenya ndio kiboko
Lakini kwa wingi wa mashabiki, Yanga ndio yenyewe kwani hata mimi Mkenya lakini shabiki wa Yanga FC.
Simba FC haina lolote, ni vijana wa mjini tu wenye makelele mengi.... aha! najua wapenzi wa Simba watanitia kitanzi bora nisepe.
Nyang'au:
Simba is a real deal and we enjoy a lot of things beside footie. For example, if we lose a game, we move on to other leisure activities such as playing golf, tennis, or listening to vivaldi. On other hand you yanga are just fanatics.
I concur, you're known for other things besides soccer.....
Inawezekana kwani yanga ina fans Branch mpaka Kigali Rwanda na mwanachama wa kwanza ni Paul Kagame
Kwa mashabiki wenye utajiri, Gor ya Kenya ndio kiboko
Lakini kwa wingi wa mashabiki, Yanga ndio yenyewe kwani hata mimi Mkenya lakini shabiki wa Yanga FC.
Simba FC haina lolote, ni vijana wa mjini tu wenye makelele mengi.... aha! najua wapenzi wa Simba watanitia kitanzi bora nisepe.
lakini ni mashabiki mbumbumbu
Kamuulize aliekua Mwenyekiti wenu Rage atakuambia mashabiki na wanachama wa Simba na Yanga wepi mambumbumbu.
Kwa Tz ni Yanga na Simba kwa Kenya ni Gor Mahia na AFC Leopard kwa UG ni Express KCCA Bunamwaya etc. Rwanda ni APR na Rayon
Swali je ni ipi ina mashabiki wengi ukanda huu wa East Africa