Klabu gani ya mpira Afrika Mashariki ina mashabiki wengi

Klabu gani ya mpira Afrika Mashariki ina mashabiki wengi

Naikumbuka gor mahia, ilikwisha kuja moshi nasoma shule ya ufundi Moshi ebanaa jamaa wako vizur Sana kuanzia usafiri mpk basi yaani
 
Gor Mahia AKA K'galo AKA the Green army pia inamashabiki kutoka nchi mbalimbali- ma shabiki wa Gormahia hujaza stadium ya capacity ya watu 60,000!!!

Cheki mashabiki wa gormahia

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • 278493_heroa.jpg
    278493_heroa.jpg
    73.1 KB · Views: 947
  • images.jpg
    images.jpg
    18.6 KB · Views: 941
  • Untitled.jpg
    Untitled.jpg
    71.7 KB · Views: 953
  • 272378_heroa.jpg
    272378_heroa.jpg
    46.7 KB · Views: 941
  • gm-odiero-fans.jpg
    gm-odiero-fans.jpg
    15.7 KB · Views: 926
  • MaloudaPhotos113.jpg
    MaloudaPhotos113.jpg
    19.4 KB · Views: 927
  • 365773_heroa.jpg
    365773_heroa.jpg
    74.5 KB · Views: 1,024
Kwa mashabiki wenye utajiri, Gor ya Kenya ndio kiboko
Lakini kwa wingi wa mashabiki, Yanga ndio yenyewe kwani hata mimi Mkenya lakini shabiki wa Yanga FC.
Simba FC haina lolote, ni vijana wa mjini tu wenye makelele mengi.... aha! najua wapenzi wa Simba watanitia kitanzi bora nisepe.

Nyang'au:

Simba is a real deal and we enjoy a lot of things beside footie. For example, if we lose a game, we move on to other leisure activities such as playing golf, tennis, or listening to vivaldi. On other hand you yanga are just fanatics.
 
I concur, you're known for other things besides soccer.....

10926464_594357950695529_1909071390687940087_n.jpg
 
acheni masihara Mimi ni mnyama likini yanga wako wengi has a Uganda na Rwanda hapo mbali na bongo lunyamila aliwabeba sana
 
Gor wakali sana na fans wake ni wengi sana,mimi ni mpenzi wa Gor Mahia tokea enzi za akina Abbas Magongo (marehemu ) na watu ka Bobby Ogola mimi niliwakubali sana watu wale kwa jinsi walivyokuwa wakikipiga ilikuwa ni moto wa kuotea mbali,ukienda ktk mechi yao yeyote ile utatoka umefurahi sana maana fans wao watakufurahisha kwa jinsi wanavyoshangilia,wenyewe hujiita eti ni Gor Serikali.
 
Inawezekana kwani yanga ina fans Branch mpaka Kigali Rwanda na mwanachama wa kwanza ni Paul Kagame

Nini Kagame huyo mwenye nchi ukubwa kama Wilaya ya Kahama, kuna hawa wazee wababe wa dunia naona wanaishabikia timu kubwa yenye matawi mpaka Marekani.
 
Attachments

  • 1425730367212.jpg
    1425730367212.jpg
    25 KB · Views: 248
Kwa mashabiki wenye utajiri, Gor ya Kenya ndio kiboko
Lakini kwa wingi wa mashabiki, Yanga ndio yenyewe kwani hata mimi Mkenya lakini shabiki wa Yanga FC.
Simba FC haina lolote, ni vijana wa mjini tu wenye makelele mengi.... aha! najua wapenzi wa Simba watanitia kitanzi bora nisepe.

Wewe nadhani umefanywa vibaya na Alshabab sasa umezoea, huku sisi hatupumulii watu visogoni.
 
Kamuulize aliekua Mwenyekiti wenu Rage atakuambia mashabiki na wanachama wa Simba na Yanga wepi mambumbumbu.

Yanga hamtamsahau Rage maana kama ni kuwadhalilisha aliwadhalilisha vya kutosha. Kupiga mtu goli 5 dunia ya sasa ni fedheha kubwa sana, maana timu ya Yanga imelinganishwa hadhi kama ya Prisons vile.
 
Kwa Tz ni Yanga na Simba kwa Kenya ni Gor Mahia na AFC Leopard kwa UG ni Express KCCA Bunamwaya etc. Rwanda ni APR na Rayon

Swali je ni ipi ina mashabiki wengi ukanda huu wa East Africa

Mkuu, jibu lake analo Nicholas Musonye wa CECAFA!
 
Back
Top Bottom