Klabu imevunja mkataba na staa wa Cameroon baada ya kugundua kuwa ana HIV

Sasa wale watu wote wanaokuwa na dalili zote zile zinazoitwa za UKIMWI na kufa kwa kilo mbili kwa nini mifumo yao wa kinga mwilini inadhoofika hivyo?

Unajua mkuu unaweza kuona lakini usielewe kile unachokiona.Kuona na kuelewa ulichokiona ni vitu viwili tofauti.Ili uelewe kile unachokiona inabidi uwe na elimu ya kutosha kuhusu hiko unachokiona.Watu wengi sana walishawahi kuniuliza swali hili...lakini nilipowauliza waniambie mfano mmoja tu wa watu waliowaona wanakufa kwa dalili hizo kwamba walipopimwa waligundulika wana ugonjwa gani,watu hao walishindwa kabisa kunijibu..hii maana yake ni kwamba hawajafanya uchunguzi wa karibu,wametumia hisia tu....

Hili jambo ni pana sana,unahitaji kujua mambo mengi.Mfano,inabidi ujue pia kwamba ukimwi si ugonjwa na ukimwi hauui...ili ukonde,upungue uzito,nk au ufe..inabidi ugonjwa fulani unaofahamika ukuingie baada ya mwili kuwa na huo upungufu wa kinga.Sasa kinachokondesha au kupunguza uzito sio ukimwi,kwa kuwa ukimwi si ugonjwa na hauui.Muulize daktari yeyote mwelevu atakwambia kwamba ukimwi si ugonjwa....hivyo basi,technically,huwezi kusema kwamba ukimwi una dalili.....ukimwi ni hali tu..ndio maana hata mahospitalini huwa wanaandika kwenye cheti cha kifo ARD,wakimaanisha Aids Related Disease....yaani mtu amekufa kwa ugonjwa unaohusiana na ukimwi...lakini hawasemi mtu kafa kwa ukimwi kwa kuwa sio technical kusema hivyo,yaani haijakaa kidaktari zaidi.

Sasa basi,fahamu kwamba kinachodhoofisha au kukondesha au kupunguza uzito sio ukimwi..bali ni ugonjwa fulani unaofahamika kama vile TB nk.Sasa kama ungekuwa umefanya uchunguzi wako wa karibu kwa watu hao ungegundua hilo ninalosema...lakini wengi hutumia hisia tu,hawajachunguza kwa karibu...mimi ninayeongea na wewe sasa hivi huwa nafuatilia kwa ukaribu sana mambo haya,huwa nakwenda hata kwenye vituo vya afya,natembelea wagonjwa nk.

Sasa kwenye swali lako kuna mambo makubwa mawili;
1.Kinga ya mwili kudhoofika
2.Kufa kwa kupungua uzito/kukonda

Sasa hapa watu wengi sana wanashindwa kuelewa kutokana na kasumba tu iliyotokana na kampeni za muda mrefu za HIV/AIDS...watu wamesahau kabisa magonjwa halisi yaliyokuwepo tangu zamani...hata zamani dalili na vifo hivi vilitokea sana kabla ya huyo HIV kutangazwa..lakini sasa hivi ubongo wa watu wengi umepumbazwa na kampeni za muda mrefu kuhusu HIV tena zilizoambatana na video za kutisha...kumbe hawajui kwamba picha hizo wanazoziona ni matokeo ya magonjwa yaleyale ya zamani.....

Halafu watu wanashindwa pia kujiuliza...Je,HIV ni(hata kama yuko kweli),ni kijidudu kipya?Jibu ni kwamba kirusi kilichopewa jina la HIV si kipya,kilikuwapo tangu karne nyingi zilizopita....sasa swali la kujiuliza ni kwamba...Je,kwanini huyo HIV hakusababisha matatizo hayo huko nyuma lakini anakuja kusababisha muda wa hivi karibuni?Maswali kama haya watu wanayakwepa au kuyasahau kabisa kutokana na kasumba tu....

Sasa twende kwenye hizo point 2 za juu:
1.Kinga ya mwili kudhoofika;
Sababu zinazoshusha kinga ya mwili zipo nyingi sana..lakini zimewekwa pembeni na hazionekani kama ni za maana kutokana na kampeni nzito za kumpa umaarufu HIV kwamba ndio sababu ya ukimwi...lakini ukweli ni kwamba tayari imeshathibitishwa kwamba HIV hasababishi ukimwi...

Wale waliosema HIV anasababisha ukimwi wanakubali kwamba wameshindwa kuelezea ni kwa vipi anasababisha huo ukimwi,hilo halipingiki,wanakubali kinaga ubaga kabisa.Lakini wale wanaopinga wameweza kuthibitisha kabisa beyond any doubt kwamba huyo HIV hasababishi ukimwi.Sasa basi,ili kujua upande gani uko sahihi hapa inabidi uingie mwenyewe field ukaone kwa macho yako na kulinganisha ni theory zipi zinaendana na kile utakachokiona huko field.Jibu ni kwamba huyi HIV si sababu ya ukimwi,bali sababu za ukimwi zinahusiana na lifestyle tu..

Baadhi ya sababu:
1.Malnutrition,
2.Matumizi ya mara kwa mara ya dawa za hospitali kama vile antibiotics,dawa za uzazi wa mpango,dawa za kutuliza maumivu kama diclofenac nk,ARVs,chemotherapy nk..na kwa mantiki hii ARVs ndizo zinazosababisha ukimwi kwa wale wanaozitumia.Hapa kundi la mashoga linahusika sana kutokana na madawa wanayotumia hasa poppers,ndio maana takwimu za WHO zinazungumzia sana mashoga lakini wanadanganya watu kwamba HIV ndio anahusika,hili liko ki technic sana,tutajadili tukipata muda.
3.Utumiaji wa dawa za kulevya kama vile heroin...hapa pia angalia takwimu zao zimehusisha pia watumiaji wa dawa za kulevya lakini wanamwingiza HIV kama ndiye aliyehusika.Hawa jamaa wajanja sana,
4.Unywaji wa pombe kupindukia hasa bila ya kula vizuri,
5.Msongo msonono wa mawazo,
6.Mionzi mikali
nk

Hizo sababu zote si za kufikirika,zimethibitishwa kisayansi kabisa.

2.Kufa kwa kupungua uzito/kukonda
Ukiondoa kasumba hapa kwenye hili utagundua kwamba kuna magonjwa halisi yakikuingia mwilini unaweza kufa kwa dalili kama hizo hata kama ukipimwa utakutwa huna HIV.Mfano mmojawapo ni TB.

Dalili za TB;
-Kukohoa mfululizo
-Homa za mara kwa mara
-Kukonda sana
-Kupungua uzito

-Kukosa hamu ya kula
-Mwili Kukosa nguvu
-Kuharisha ama kutapika kama TB imesambaa katika GI track

sasa Je,hizi sio zile dalili ambazo watu ndio wameambiwa kwamba ndio za ukimwi?Kama ndio hizi,sasa VVU/ukimwi ni nini?

Halafu tambua kwamba,ili upate TB kinga yako lazima ishuke....watu hutembea na vijidudu vya TB kila siku lakini hawaugui..siku kinga itakaposhuka tu ndio huanza kuugua...hivyo tambua kwamba TB unaipata kama kinga imeshuka,yaani ukiwa na ukimwi.

Logic;
Sasa kama ukiwa na ukimwi ndio unaweza kupata TB,...Je,ni wote wenye TB wakipimwa hukutwa na HIV?

Jibu ni kwamba si wote...

Sasa wale ambao hawakutwi na huyo HIV ukimwi wao umesababishwa na nini?

Hapa ndipo utakapojua kwamba kuna sababu halisi za ukimwi lakini sio HIV...hii ni kwasababu tayari kuna uthibitisho wa kisayansi kwamba huyo HIV hasababishi huo ukimwi.Ukitaka kuthibitisha kwa macho unaweza kufanya hivi;

Fuatilia wale wanaopima HIV halafu wakaambiwa kwamba wana HIV...halafu fuatilia sana utagundua kati ya hao watu wapo wale watakaotumia ARVs na wale ambao hawatatumia ARVs...sasa wewe fuatilia wale wasiotumia ARVs...ukiona wanaishi wakiwa na afya njema kwa zaidi ya mwezi mmoja basi jua kwamba HIV hasababishi ukimwi....hii ni kwasababi sayansi ya huyo aliyepewa jina la HIV inasema kwamba huweza kusababisha madhara ndani ya mwezi mmoja tu na si zaidi ya hapo...hili linakubalika kwa pande zote mbili,yaani wale wanaokubali na wale wanaopinga suala hili.Na ndio maana wale wanaokubali wanakiri kwamba wameshindwa kuthibitisha kwanini watu wengi huchukua muda mrefu sana kabla ya kuanza kuugua hata kama hawatumii ARVs....ndio maana mgunduzi mmojawapo akaja na ushauri mwingine kwamba kuna mambo mengine yanasababisha ukimwi ukiacha HIV...mambo haya wanaita cofactors...lakini wenzake walikataa hoja yake wakisema HIV peke yake ndio sababu ya ukimwi....sasa umeona hii jinsi ilivyokaa kibiashara?

Fanya uchunguzi wako kwenye hilo.

Sasa huu ndio ukweli halisi wa yale unayoyaona mitaani....bila ya kujua ukweli huu unaweza kuona unachokiona lakini usielewe.

Karibu tena kwa hoja/swali nyingine/lingine.
 
Tunaambiwa nyie mnaokataa HIV ni conspiracy theorists kama wale wanaokataa kwamba Wamarekani wamefika mwezini.

HIV/AIDS denialism

HIV/AIDS denialism - Wikipedia, the free encyclopedia

HIV/AIDS denialism is the belief, contradicted by conclusive medical and scientific evidence,[1][2] that human immunodeficiency virus (HIV) does not cause acquired immune deficiency syndrome (AIDS).[3] Some of its proponents reject the existence of HIV, while others accept that HIV exists but argue that it is a harmless passenger virus and not the cause of AIDS. Insofar as they acknowledge AIDS as a real disease, they attribute it to some combination of sexual behavior, recreational drugs, malnutrition, poor sanitation, haemophilia, or the effects of the drugs used to treat HIV infection.[4][5]

The scientific consensus is that the evidence showing HIV to be the cause of AIDS is conclusive[1][2] and that HIV/AIDS denialist claims are pseudoscience based on conspiracy theories,[6] faulty reasoning, cherry picking, and misrepresentation of mainly outdated scientific data.[1][2][7] With the rejection of these arguments by the scientific community, HIV/AIDS denialist material is now targeted at less scientifically sophisticated audiences and spread mainly through the Internet.[8][9]

Despite its lack of scientific acceptance, HIV/AIDS denialism has had a significant political impact, especially in South Africa under the presidency of Thabo Mbeki. Scientists and physicians have raised alarm at the human cost of HIV/AIDS denialism, which discourages HIV-positive people from using proven treatments.[2][8][10][11][12][13] Public health researchers have attributed 330,000 to 340,000 AIDS-related deaths, along with 171,000 other HIV infections and 35,000 infant HIV infections, to the South African government's former embrace of HIV/AIDS denialism.[14][15] The interrupted use of antiviral treatments is also a major global concern as it potentially increases the likelihood of the emergence of antiviral-resistant strains of the virus.[16]
 
Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu (privacy violated), ingetosha sana kusema hakufuzu vipimo. Hawa waarabu ni wa ovyo sana.
Ooh !!! hahaha!!! Very funny, kwani ukimwi unatofauti gani na maralia au TB.au ebola? Au kwavile ukimwi unapatikana sana kwenye ngono ndio umekua udhalilishaji.fikra kama hizo hazifai ni vyema wenye maambukizo ya ukimwi wajitokeze hadharani wafahamike ili wapate stahiki zao kwa ulinzi wa maisha yao.NGONO ndio privacy violated and, every time it gets a promotion no one shouting
 
Tunaambiwa nyie mnaokataa HIV ni conspiracy theorists kama wale wanaokataa kwamba Wamarekani wamefika mwezini.

HIV/AIDS denialism

HIV/AIDS denialism - Wikipedia, the free encyclopedia

HIV/AIDS denialism is the belief, contradicted by conclusive medical and scientific evidence,[1][2] that human immunodeficiency virus (HIV) does not cause acquired immune deficiency syndrome (AIDS).[3] Some of its proponents reject the existence of HIV, while others accept that HIV exists but argue that it is a harmless passenger virus and not the cause of AIDS. Insofar as they acknowledge AIDS as a real disease, they attribute it to some combination of sexual behavior, recreational drugs, malnutrition, poor sanitation, haemophilia, or the effects of the drugs used to treat HIV infection.[4][5]

The scientific consensus is that the evidence showing HIV to be the cause of AIDS is conclusive[1][2] and that HIV/AIDS denialist claims are pseudoscience based on conspiracy theories,[6] faulty reasoning, cherry picking, and misrepresentation of mainly outdated scientific data.[1][2][7] With the rejection of these arguments by the scientific community, HIV/AIDS denialist material is now targeted at less scientifically sophisticated audiences and spread mainly through the Internet.[8][9]

Despite its lack of scientific acceptance, HIV/AIDS denialism has had a significant political impact, especially in South Africa under the presidency of Thabo Mbeki. Scientists and physicians have raised alarm at the human cost of HIV/AIDS denialism, which discourages HIV-positive people from using proven treatments.[2][8][10][11][12][13] Public health researchers have attributed 330,000 to 340,000 AIDS-related deaths, along with 171,000 other HIV infections and 35,000 infant HIV infections, to the South African government's former embrace of HIV/AIDS denialism.[14][15] The interrupted use of antiviral treatments is also a major global concern as it potentially increases the likelihood of the emergence of antiviral-resistant strains of the virus.[16]

Kwanini huzungumzii hoja nilizotoa na badala yake unanakili kurasa za wikipedia na kupakua hapa?Sidhani kama kuna jambo lolote linalohusu HIV/AIDS ambalo wewe utalipitia lakini mimi sikuwahi kulipitia...haya yote nayajua...nilianza muda mrefu safari hii.Hivyo tambua kwamba haya yote uliyo post hapa nayajua.....ndio maana nakusihi uwe makini sana na uwe mtulivu kufuatilia hoja hizi...nilijua utapinda tu,ndio maana nikatoa angalizo mapema kabisa.

1.Hivi unajua kwanini waliotudanganya wameamua kutudangaya?unajua sababu?
2.Unajua ni kina nani wako nyuma ya uongo huu?
3.Unajua mfumo wa modern western medicine ulianza vipi na kina nani walianzisha na kwanini walianzisha?

Kuwa makini,si kila kitu ni conspiracy theory....tumia logic zako kutambua hilo.Usiegemee kwenye hitimisho la mwingine,tumia logic zako....mbona wewe unasema hakuna mungu na unalazimisha wengine wakubaliane na wewe.....lakini huku hutaki kutumia hizo logic,kwa nini?

Sasa hata huko kufika mwezini,Je,wewe unalionaje hilo,ni kweli walifika ama hawakufika mwezini?Uelewa wako ukoje kwenye hilo?Unalinganisha vipi hoja kutoka pande zote mbili?Hitimisho lako likoje?

Haya mambo hayahitaji kujaza maneno mengi na kutumia nguvu nyingi kushawishi watu,ni suala la logic tu.Watu tunajirahisisha sana kupenda kukubaliana na mainstream...haya sasa..Obama anapigia kampeni ushoga na kuacha kufanya mambo ya maana....sasa kwasababu Obama kasema, basi hilo la ushoga ni sawa tu,na mtu yeyote atakayepinga basi huyo ni conspiracy theorist?

Hivi wewe hujui kama biashara yoyote ile lazima itangazwe na kupigiwa kampeni pale ambapo kuna hatari ya biashara hiyo kuanguka?Hao jamaa wako tayari kwa gharama yoyote ile kutetea biashara hii,hayo uliyoleta kutoka wikipedia ni utetezi wao tu,lakini hakuna ukweli hapo,ukweli uko kwenye sayansi halisi,sayansi halisi ndio hii ninayokupa mimi uifuatilie kisha ulinganishe na kile kinachotokea mitaani au kwenye vituo vya afya.

Twende kwenye hoja za msingi,tukimaliza ndio utajua kama wanaopinga ni conspiracy theorists au la.
 
Twende taratibu.

H.I.V ipo au haipo?

Kile kirusi kinachodaiwa kusababisha UKIMWI, kipo au hakipo?
 
Kaka,muulize jamaa kama yuko tayari tumletee mtu mwenye ngoma na hoiampige peku peku
au tuchukue damu ya mwenye ngoma tumchome kenye mshipa
 
Twende taratibu.

H.I.V ipo au haipo?

Kile kirusi kinachodaiwa kusababisha UKIMWI, kipo au hakipo?

Haya ni maswali mawili tofauti,ingawa watu wengi wanaweza kudhani ni swali moja limeulizwa mara mbili.Safi sana kwa maswali haya,kumbe logic unazo halafu unazikalia bure tu.Sasa twende kwenye hoja;

1.HIV ipo au haipo?
Jibu:
Hakuna HIV.Yaani hakuna kirusi kinachosababisha upungufu wa kinga mwilini.Kirusi cha aina hiyo hakipo duniani labda kwenye sayari nyingine.Hapo ndio unatakiwa ujue kwamba,HIV ni jina tu alilopewa kirusi aina ya retrovirus ili aonekane kwamba ana sifa ya kushusha kinga ya mtu,lakini ukweli ni kwamba,hakuna retrovirus mwenye sifa hiyo.Yaani ni sawa na wewe kuniita mimi ng'ombe,wewe kuniita mimi ng'ombe haina maana kwamba mimi nina sifa au maumbile ya ng'ombe,ni jina tu ambalo umeamua kuniita kutokana na malengo au sababu unazozijua wewe.Basi hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa HIV.

Ukitaka uthibitisho wa kisayansi utapata,na kama ulisoma kwa makini tangu mwanzo utaona kuna vidokezo nimetoa kuthibitisha hilo na pia nimeelekeza jinsi ya kupata uthibitisho huo ili ujionee kwa macho yako pasipo kutegemea mwingine anasema nini.Hili liko wazi kabisa kama utaamua kuliona kwa macho yako mwenyewe.Tatizo la wengi ni kwamba tayari wameshakuwa locked kwenye dhana hii,hawataki kabisa kufikiri upande mwingine.Yaani ni sawa na dini,kila mtu ana dini/imani yake na hataki/hawezi kabisa kufikiri kuhusu dini/imani ya mwingine,anaona anavyoamini yeye ndio sahihi,ni hivyo tu.

2.Kile kirusi kinachodaiwa kusababisha UKIMWI, kipo au hakipo?
Jibu:
KIPO.Kirusi hicho kinachodaiwa kusababisha ukimwi ni jamii ya retrovirus.Na hii sisemi mimi,au haikusemwa na Prof Duesberg ambaye ni mmoja wa madaktari waliopinga dhana hii,bali wale wanaoitwa wagunduzi ndio walisema wenyewe...sasa baada ya kusema hivyo ndio wakaamsha hoja kutoka kwa madaktari wengine ambao nao wamesomea hao retrovirus kwa muda mrefu akiwemo huyu Duesberg ambaye amefanya tafiti za hao retrovirus kwa zaidi ya miaka 20....

Sasa cha kushangaza ni kwamba...sayansi siku zote inakwenda mbele kwa kanuni...kama wewe una claim jambo fulani kuna procedure zake...zikiwemo kufanya Observation,hypothesis,experimentation na conlusion....baada ya hapo inabidi uwasilishe ugunduzi wako ujadiliwe na jopo la wanasayansi wengine na wakubaliane na wewe kama ulichogundua kinaendana na scientific studies zao,baada ya hapo uandike scientific paper kuelezea ulichogundua na ku publish hiyo paper kwenye journals mbalimbali kabla ya kutangaza hadharani hicho ulichogundua....hayo niliyoanisha hayakufanyika wakati HIV retrovirus anatangazwa kama ndio HIV mwaka 1984...sasa jiulize kwanini hayakufanyika?waliogopa nini?

Na mpaka leo hii tunapozungumza,miaka 30 imepita,hakuna scientific paper ku back up claim hiyo kwamba huyo HIV anasababisha AIDS...hakuna paper hiyo,jiulize kwanini?

Hypothesis ya HIV haiendani na experimentation na conclusion yake....sasa wewe umeona wapi sayansi inaendeshwa hivyo?

Halafu jiulize pia kwanini hawataki kuruhusu mawazo ya wanasayansi wengine wenye lengo la kumaliza suala hili la 'AIDS' lisiwepo duniani?Kwanini hawataki kurusu upande wa pili utoe maoni yao na maoni yao yafanyiwe kazi kama kweli lengo ni kumaliza 'janga' hili?

Ukipata majibu ya maswali haya maana yake utakuwa umeshaelewa.
 
Kwa hiyo unasema kuna retrovirus inayodaiwa kusababisha UKIMWI, lakini kwa kweli haisababishi UKIMWI?
 
Haswaa..hiyo ndio maana yake..na si kwamba nasema tu,zipo proof nyingi sana kuonesha hilo.Kuna uthibitisho wa kisayansi na pia kuna uthibitisho katika mazingira yetu ambao unaendana kabisa na jinsi sayansi inavyosema..tatizo ni kwamba hawa jamaa wametumia akili sana kudanganya watu,na zile kampeni walizofanya muda mrefu tena tangu wengi wakiwa wana umri mdogo zimefanya watu waamini jambo hili pasipo kuelewa nini kinachotokea.

Cha msingi ni wewe kufahamu kwamba kila upande una theories zake iwe za kweli au si za kweli...lakini mwisho siku unatakiwa kulinganisha theories hizo na kile kinachotokea mitaani,hapo ndipo utakapojua ukweli,hii ndio maana ya sayansi.

What is science?
Science is the ability to predict the highest most probable.

Sasa kama sayansi ya hao wagunduzi imeshindwa ku predict kwa zaidi ya 20% basi ujue hakuna sayansi hapo...hii sasa ndio tunaita pseudo science.Lakini hao wanaounga mkono nadharia hii ndio wa kwanza kunyooshea vidole wale wanaopinga kwamba eti ndio wanatumia pseudo science...hii ni kutapatapa kwao tu kuokoa jahazi lao la biashara inayozidi kuzama kila siku.Na itafikia wakati watu wataelewa na watadharau kabisa suala hili.Nina scientific papers nyingi tu kutoka kwa madaktari wanaopinga kuthibitisha wanachosema,lakini kama nilivyosema,mwisho wa siku papers haziwezi kukuthibitishia moja kwa moja,inabidi ufanye uchunguzi wako huko mitaani ulinganishe mwenyewe...hii ndio sayansi sasa.

Baadaye nitakupatia video 2,moja inamuonesha huyo mgunduzi wa huyo eti HIV,nyingine inamuonesha Daktari yule alipinga dhana hii.Sasa ukisikiliza kwa makini utaona wazi kabisa kwamba hawa wanaounga mkono suala hili ni wajanja wajanja tu...wanakubaliana moja kwa moja na wale wanaopinga lakini wakija mitaani wanaficha ukweli huo.Bado kuna mambo mengi sana kukamilisha uelewa huu,kuna historia yenyewe ya huo eti ugunduzi unatakiwa kuijua pia,kuna historia ya hizo ARVs unatakiwa pia kuijua,kuna suala la vipimo pia unatakiwa kulijua.

Sasa angalia hizi video 2,kisha ulinganishe mwenyewe.Halafu chunguza,je,anachosema huyo mgunduzi ndi hiki wanachosema madaktari huku mitaani au tofauti?Kama ni tofauti,jiulize,kwanini ni tofauti?

Prof Luc Montagnier vs Prof Peter Duesberg(Mgunduzi wa eti HIV na mtaalam wa retrovirus)

Sasa hiyo video ya Luc Montagnier imekatwa tu,lakini original video ni kama saa moja hivi.Kwenye hiyo original video kuanzia dk ya 20 Luc anakubali kwamba HIV anapoingia mwilini/damuni kama atasababisha madhara basi hauzidi mwezi 1 atakuwa ameshasababisha madhara,na si zaidi ya mwezi...hii ina maana kwamba hata kama mtu amepimwa HIV+ halafu hatumii ARVs basi tunategemea hauzidi mwezi atakuwa ameshaanza kuugua,lakini hili halitokei huko mitaani..watu wanakaa miaka mingi pasipo kuugua hata kama hawatumii ARVs.Na hii fact imeelezewa vizuri sana kwenye hiyo video ya Duesberg kwamba kwanini retrovirus hata kama ataleta madhara hauzidi mwezi.

Halafu kwenye hiyo hiyo extended video ya Luc,Luc anakubali kwamba wameshindwa kuelezea kwanini watu huchukua muda mrefu sana kuugua baada kuingiwa na huyo HIV..pia anakubali kwamba wanashindwa kuelezea ni kwa vipi HIV anasababisha upungufu wa kinga...ndio maana nilikwambia mwanzo kwamba hawa jamaa hawana scientific paper kuelezea hilo kwa kuwa bado hawajui,sasa kwenye hiyo extended video yeye mwenyewe anakubali...na hii video ya Luc ni ya mwaka 2006,HIV ametangazwa mwaka 1984...sasa kama mwaka 2006 ambapo tech iko juu Luc anasema haya sasa ule ujasiri wa kutangaza HIV mwaka 1984 waliupata wapi?

Yaani ni sawa na NASA kuzungumzia jinsi ya ku deal na challenge ya van Allen belt miaka hii ya 2000 ambapo tech iko juu ili kumpitisha mwanadamu salama katika belt hiyo aende katika anga za juu,sasa mwaka miaka ya 1960 waliwezaje kupita kwenye belt hiyo wakati tech iko chini.Haya mambo ni logic tu.Halafu swali la msingi kujiuliza ni kwamba,wanapata faida gani kutudanganya?Maana haya mambo watu wengi hawayajui,hawajui historia ya dunia hii miaka ya hivi karibuni....kuna mambo mengi tunatakiwa kuyajua katika siasa,sayansi,kijamii na kiuchumi...muunganiko wa uelewa wa mambo haya ni muhimu sana.

Sasa angalia video hizo halafu udadavue mwenyewe.
 
HIV at 21,ila na yeye hakujua kama kaathirika ? Ila wamefanya vibaya kumtanngaza dunia nzima
 
Back
Top Bottom