Kusema kwamba Chelsea na Arsenal wanaongoza kwa kuwa na wafuasi wengi Africa kwa kuangalia follows za kwenye tweets na likes za kwenye Facebook ni uongo mtupu,kwasababu sio wote wanao_follow Chelsea/Arsenal/Manchester ni wafuasi wa timu hizo.Utakuta mtu anashabikia Liverpool lakini ana_like page ya Chelsea. Njia nzuri zaidi ya kutafiti ni kwenda ktk sehemu za hadhara wanakoonyesha mechi za EPL.Hapo ndipo ukweli utajulikana.