Klabu ipi maarufu zaidi Afrika ligi ya England?

Klabu ipi maarufu zaidi Afrika ligi ya England?

Arsenal babake facebook,twitter,whatsapp na vidigital vyote street ndo usiseme..Gunners up
 
Kwahiyo Ngamiani kombe pekee kwako ni UEFA tu?
Hata hivyo sitaki ligi...
 
Last edited by a moderator:
Kusema kwamba Chelsea na Arsenal wanaongoza kwa kuwa na wafuasi wengi Africa kwa kuangalia follows za kwenye tweets na likes za kwenye Facebook ni uongo mtupu,kwasababu sio wote wanao_follow Chelsea/Arsenal/Manchester ni wafuasi wa timu hizo.Utakuta mtu anashabikia Liverpool lakini ana_like page ya Chelsea. Njia nzuri zaidi ya kutafiti ni kwenda ktk sehemu za hadhara wanakoonyesha mechi za EPL.Hapo ndipo ukweli utajulikana.
 
Back
Top Bottom