Klabu kama Kaizer hakina Hadhi ya Kufundishwa na Nabi, Nabi Anafundisha Vilabu Vikubwa Tu.

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Nilikuwa nataka nishangae kuona Nabi kama Angekubali ku-Downgrade na kufundisha kilabu kidogo Kaizer Chief au vyenye kufanana na Kaizer Chief.

Kwa hadhi ambayo amejengewa na Dar Young Africa SC alipaswa aende kwenye vilabu vikubwa kama Saudi Arabia.

Kubaki Afrika na kufundisha wakina Teko Modise ni kujishushia heshima tu.

Nampa Hongera & Kongole kwa uamuzi wake wa kukataa kujivunjia heshima na kuivunjia klabu yake ya zamani heshima.
 
Sawa
 
alipaswa aende kwenye vilabu vikubwa kama Saudi Arabia.
Hapo uto mnapanga kumpiga tukio Muargentina ili mshindwane naye mumrudishe Nabi kabla msimu haujaanza. Kuna kesi nyingine inanukia.
 
Mpira una politics zake ...acha M South mwenzao wapambane nao Nabi kuja Azam tukuze mpira Tanzania
 
We kweli dish limeyumba, yaani unafananisha Kaizer na huo uchafu wa Utopolo.
 
Mimi ni Yanga lakini Kaizer Chief ni timu kubwa South Africa nadhani kuliko Yanga.
 
Kwa akili yako fupi unadhani utopolo united ni klabu ya maana sana?

Mara ya mwisho kuingia makundi ya CAFCL utopolo ni 1998 halafu unatamba na fainali ya losers' cup?

Kaizer chiefs inawazidi kila kitu.
 
Hapa sijui umebonyeza ngapi kupata hiki kichekesho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…