demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Nilikuwa nataka nishangae kuona Nabi kama Angekubali ku-Downgrade na kufundisha kilabu kidogo Kaizer Chief au vyenye kufanana na Kaizer Chief.
Kwa hadhi ambayo amejengewa na Dar Young Africa SC alipaswa aende kwenye vilabu vikubwa kama Saudi Arabia.
Kubaki Afrika na kufundisha wakina Teko Modise ni kujishushia heshima tu.
Nampa Hongera & Kongole kwa uamuzi wake wa kukataa kujivunjia heshima na kuivunjia klabu yake ya zamani heshima.